uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Kwamba wamgomee Rais Samia tuone
Wapuuzi hao, hata uongozi wao haueleweii, wamekali tu ushirikina!
Kwamba wamgomee Rais Samia tuone
Tusubiri tuone kama leo Simba wataenda kufanya mazoezi ya mwisho kwa Mkapa kama walivyotoa taarifa kwa umma.Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Waisiharamu ni uchafu kwenye uongozi wa jambo lolote wanatumika kipumbavu na mtu yoyote ndiyo maana hadi mabeberu yanawatumia kipumbavu.Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Football Intel Africa wanakuambia.Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Kwani mangungu ni nani pale Simba? Mangungu ndio mwenyekiti wa Simba sasa bodi inakataa kumtambua kivipi kuwawakilisha? Uyo dalali inawezekana alipewa kitengo hapo ukoloni cha ulozi ndio maana uwa anabebwa ata kwenye Kila mechi yupo ndio maana mnaona anatabasamu vizuri kabisa kwenye picha na Mh.Rais🤣 wakati mangungu anaangalia kwa jicho la wizi wizi🤣🤣Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Nawaomba wasipingane na Mamlaka. Kwa kuwa Mamlaka ndio iliyowaita Wawakilishi kwa kila upande.Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Si ndiyo kinachoshangaza zaidi yaani hapa tumechemka kama wanamichezoTusubiri tuone kama leo Simba wataenda kufanya mazoezi ya mwisho kwa Mkapa kama walivyotoa taarifa kwa umma.
Hii ligi ya Tanzania inaelekea mahali sio sahihi yaani timu imeshindwa kesi CAS kwa wenye mpira wao+imeshindwa kesi mahakamani cha ajabu inatoa matishio kwa mamlaka za soka nchini na wao wanakuja kuyatekeleza 😂😂
kwahiyo wanaandaa timu leo kufanya mazoezi ya mwisho?Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Isitoshe, wamekubaliwa tarehe 24/06/2025 waende na mbuzi wao usiku, hakuna bausa atakae thubutu kuwazuia na mageti yote yatakua wazi kabla hawajafika.Kwani mangungu ni nani pale Simba? Mangungu ndio mwenyekiti wa Simba sasa bodi inakataa kumtambua kivipi kuwawakilisha? Uyo dalali inawezekana alipewa kitengo hapo ukoloni cha ulozi ndio maana uwa anabebwa ata kwenye Kila mechi yupo ndio maana mnaona anatabasamu vizuri kabisa kwenye picha na Mh.Rais🤣 wakati mangungu anaangalia kwa jicho la wizi wizi🤣🤣
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifaKuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.
Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee
CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea
Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza
Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa
Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzuluView attachment 3367843
Yaani "tunaoamini ni wataalam wa, mpira"wanaenda ikulu, kuomba msaada wa kutatua Mambo ya mpira kutoka kwa watu wasio wataalam wa mpira!?Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.