Kama haipigwi kesho si ndo basi...au shida yako nini...Nilidhani wanashinikiza kuwa mechi ipigwe kesho. Mikia efu sii bana 😁
KuwaMangungu anataka kurudi bungeni
Mtakuja kutekwa halafu muanze kutia huruma.Wanasemaje sasa maana tumewaonea huruma tumekubali kucheza. Kama wanazingua tutaghairi tuseme hatuchezi tena