Kwahiyo wanataka kutuambia kiongozi wetu hawajui viongozi wao? Waache upumbav*. By the way hili sakata kuna watu walikua wanataka kutaguta credit tu. Mashabiki wa Yanga na Simba wanaburuzwa kama sisi wapiga kura tu hatuna tofauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkubali au mkatae,
Simba na yanga ni timu za serikali,
Mangungu Ni kiongozi WA juu Sana TIS
Mangungu na yule mzee WA yanga wote Wako pale kulinda maslahi ya serikali kwenye hizi club mbili.
Ukiwaona ikulu, sio Kwa bahati mbaya, wao ndo madon wa hizi club.
Kina mo na gsm ni wadhamini Ila Hawana final say kuliko Hawa wazee
 
Ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…