Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

Sasa hivyo vi miguu vya kitanda ndo spare au? Sijaelewa.
 
my friend jf binadam wa humu ni wengne tofauti yaan ni much know kuzidi maelezo. Hadi mtu anashndwa kutoa taarifa iliyokamilika. Yaan wanakera ni basi tu.
Tuwavumilie ndio ndugu zetu
 
asante kwa mrejesho mkuu mambalee
 
Kwa hiyo difenda ndo zingezuia bomu kulipuka?
Shida ni kwenda na difenda au kwenda wengi badala ya mmoja? Kama ni kwenda wengi ni lazima iwe hivyo, Kila mtaalamu alipaswa kuwepo hapo, kama ni WA mabomu, upelelezi, uchunguzi, nk....
Ndio kazi Yao hiyo, acha wawajibike. Angeenda mmoja halafu ingekuwa ni issue nyeti inayohitaji kusolviwa na askari zaidi ya mmoja, tungewatukana kwa uzembe.
 
Ni walewale wasio julikana ama 🤔🤔
 
Yani nikiangalia sura hakuna hata mmoja ni mtoto wa mjini, wote walugaluga washamba wa vijijini wamevamia jiji letu

 
Hao wananchi watajilaumu sana ikiwa hilo box litakuwa na pesa au madini.
Hata wewe ungekuwa eneo hilo ungejilaumu bro
Maana namna linavyoonekana hakuna raia atathubutu kulifungua aone kilchomo
Ndiyo maana kila mmoja ana kiu kujua kuna nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…