Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Tunaomba jeshi la polisi liachwe lifanye kazi yake pia polisi wawe fair wasiegemee upande wowote hii ni hatari sana..!

And do u think this Policcm wont be biased?U must be dreaming...
 
Wameshindwa kila mbinu,wameona kuiba kura imeshindikana now wanaua watu.

Kama nahisi kuna mkakati maalum wa kuangamiza viongozi wa chadema
 
polisi wanatumika.[/QuUOTE]

usiku huu Mwingulu Mchemba amehamishwa HOTELINI na maaskari kwa usalama wake alikuwa hapa Sterio Hotel chumba namba 214 na haijulikani amehamishiwa wapi na walizima taa zote wakampitisha Jikoni na kuelekea kusikojulikana
 
Tendwa wa Tume ya Uchaguzi ni chizi, mbona asitishie kukifuta chama ambacho bila kificho wala aibu kimekuwa kikiua raia kwa minajili ya kisiasa? Chama hicho kimekuwa na makambi ya mafunzo ya kijeshi(?) mikoni; na tena wazi wazi kimehubiri kwa maneno na matendo kuwa hakiko tayari kushindana katika mazingira huru, sawa na ya haki. Chenyewe kinajiona kina hati miliki ya Tanzania.

Ila mwisho wake si NEC, TISS, PT nk havitakinusuru hata kidogo, sana sana watachangia kufa kwake kwa haraka zaidi.
 
Inasikitisha, inahuzunisha na inatia hasira sana. Hivi Mwigulu Nchemba unavyoamua kumwaga damu za watanzania wenzako kwa uchaguzi wa madiwani tu unaleta picha gani huko 2015?? Hivi chukulia ingekuwa ameuawa mkeo au Shonza ungepata uchungu kiasi gani?? Jamani CCM tutendeeni wengine vile mnavyotaka mtendewe na nyie, sio kufanya maisha yetu hayana thamani kisa tu nyie ni watawala na mna jeshi. Inasikitisha sana kuwa hiyo damu naiona kwenye nchi yangu ninayoipenda ya Tanzania. Eeeh Mungu tuepushe na hili lichama la CCM
 
Nadhani umenisoma....nimekuambia upo wapi ujitazame upime mchango wako wa kushangilia na kutetea uovu navyotafuta watu wako.Nasema watu wako kwa vile ktk kia watu kuna watu wengi sana unaoweza jinasibu nao km watu wa kundi lako..arusha kuna wanyalu wengi tuu wanaoipenda CDM huku wakifikiri jinsi ya kurudi na kuinua mkoa wao,kuna aksari polisi wengi tuu ambao na wewe uliwahi kuwa polisi, kuna watu wa dini yako, kuna watu wa rika yako, kuna watu wenye interest ningi km zako, na watu wote ni binadamu km wewe mabo ungeweza watetea mkia ktk kundi la simba....Leo upo too naive hujaona wapi ulikosea njia.Hujaona wapi maisha yako yangenkwenda bila "Jisalimisha kwa adui".

Ni kipindi cha kujirudi na kufikiri mara mbili maamuzi yako.....ujisamehe mwenyewe kwa kuwa mbio sana.Umlaumu sana shetani aliyekupeleka mbio..."piga magoti tumu ulipo" halafu nenda mbele ukiwa tofauti.

Tusubiri asakari wepi tena?Wewe si ulikuwa polisi nini hukijui kuhusu utamaduni wao wa siku nyingi?Chris km umekwenda ulaya bado maisha yako yanategemea bahati nasibu ni wazi huwezi tena kutoka.unahitaji Mungu sasa."UTANIKUMBUKA SIKU MOJA UTALIA SANA".Unampigania usiye mjua,vita ikikaribia kufanikiwa upande wa adui "utamsikia adui kwa kauli yake atakuja ili achukue ushindi" roho yako itakuuma sana.Ila utakuwa umechelewa sana.Na wewe utakuwa huna tena kazi zaid ya kuwa mzigo,kwani hutakuwa wa kudni lao.
 
Leo mnataka CUF na vyama vingine viwaunge mkono kwa lipi? Nyie si mnaanza na Mungu na Mnamaliza naye hofu ya nini sasa?

Naona watu wamekufa na wewe unashangilia. Lakini hawatakufa wote na mwisho wa siku hukumu inawasubiri. You may quote me.
 
Poleni wahanga wa mabomu huko Arusha. Mungu awarehemu hayo wafanyayo maana hawajui walitendalo. Na wakumbuke Pindi sauti ya mwana wa Adam itakapo paza sauti juu ya DAMU hii isiyo na hatia! Mungu azilaze roho za Marehemu
mahala pema Peponi Amina!!!!!!
 
 
Today it is exactly a month and 10 days since a bomb blast at Olasiti church in Arusha killed people and left quite a big number injured. This is very pathetic...Wakati ile kesi ya mabomu pale Olasiti kanisani bado haijaisha, hata washukiwa wenyewe hawajakamatwa zaidi ya yule kijana wa boda boda ambaye kwa maoni yangu ametolewa kama guinea pig...we are witnessing another bomb blast with blood shed...!

No speculation here, but if the bomb could have landed on the CCM campaign meeting...I tell you by now we could have more than dozen number of suspects!

Something serious and not just politics must be done in Arusha...the unfortunate thing is that...this serious thing must be done by this very same government!
 
dah inaskitisha sana jaman siasa za hivyi hazifai kabisa this is too much yeyote alie husika must pay fo dis nchi yetu fo dis t z scared r.i.p waliokufa n,,, majeruhi polen sna ,,,,,,,,Mungu yupo,,,,,,,
 
In my little wisdom what I have written is thinking outside the box!

In my analysis your mind is still very average! In your own understanding that was the highest thinking capacity but unfortunately it is a mere rubbish to great thinkers! Kakojoe ulale!
 

uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana..umejawa na ubaguzi wa udini na ukabila....laana ikutafune popote pale ulipo
 
Mi sio chadema kabisa lakini naumia sana sana kuwaona watanzania wenzangu walivyopotezewa uhai wao na wengine kujeruhiwa sana bila sababu ya msingi. Poleni sana wafiwa na mliopata majeraha mpone haraka.
 
acha kutuletea habari za ajabu wewe mlishasema nchi haitatawalika halafu unaandika mambo ya ajabu humu tukueleweje na sijui aliyeenda ulaya atakuja na lipi tena tutashuhudia mengi sana.
 
Poleni sana wana Arusha mumgu awape nguvu tutafika tuendako
 
Pengo alikuwa Sahihi kusema Waislam hawakuhusika na lile bomu la kanisani, kwa nn mabom yalipuke Arsha tu? Wenye Arusha yao wabanwe wataje wanachotaka?
 
Kama taifa hili limefikia hapa ..basi tuna safari ndefu kuwaamini watawala.!!!!
 
Viongozi wa chadema wajiangalie sana, mwigulu alimpania sana mnyika kule Ndago, bahati yk wafuasi wa chadema na wananchi kule singida walisimama kidete, hakuna kiöngozi katili ndani ya ccm kama mwigulu nchemba, ni mtu hatari sana kwa usalama wa watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…