Mkuu mimi nahusika vipi na hili suala la kigaidi?
Una uhakika gani na unayoyasema kwa kuilaumu CCM
Sitaki kusema mengi lakini ujue kuwa kuna watu wanataka madaraka kwa gharama yoyote ile. Wanaweza kutumia mbinu zozote zile hata kuua raia wasio na hatia ili kupata attention na kuchonganisha raia na serikali iliyopo madarakani.
Lakini mengi yanawezekana, inawezekana pia watu wasiotutakia amani wakawa wanafanya hayo makusudi wakijua kuwa badala ya kutafuta mchawi sisi tutakuwa bize kunyoosheana vidole, usisahau juzi tu bomu limelipuka kanisani na leo linalipuliwa kwenye mkutano wa chadema ili kuchanganya watu wasahau ya udini wadhani ni siasa.
Lolote lawezekana. Tuwaachie polisi waendelee na uchunguzi na kama kuna anye jua lolote litakalo wasaidia polisi atoe msaada kwa kupiga simu tu sio lazima uende kituoni.
Tuweke siasa pembeni tuwaombee majeruhi wapone haraka na tuungane na familia za waliofiwa kuomboleza, hili sio suala la kulumbana kisiasa, lazima tukae tujiulize nani anatuletea hofu kwenye nchi yetu tuliyokuwa tunaishi kwa amani.
NAWAPA POLE NDUGU ZANGU WA ARUSHA, TUOMBE MUNGU ATUWEZESHE KUMPATA ADUI
Kuna taarifa kuwa Mwigulu amekimbia Arusha, usiku huu, please wana Arusha, mkamateni huyu jamaa, asiotoke! Kama ni Airport tupeni taarifa akifika Dar tumdake!
Kwa hiyo ulitaka nani afanye uchunguzi?Nadhani umenisoma....nimekuambia upo wapi ujitazame upime mchango wako wa kushangilia na kutetea uovu navyotafuta watu wako.Nasema watu wako kwa vile ktk kia watu kuna watu wengi sana unaoweza jinasibu nao km watu wa kundi lako..arusha kuna wanyalu wengi tuu wanaoipenda CDM huku wakifikiri jinsi ya kurudi na kuinua mkoa wao,kuna aksari polisi wengi tuu ambao na wewe uliwahi kuwa polisi, kuna watu wa dini yako, kuna watu wa rika yako, kuna watu wenye interest ningi km zako, na watu wote ni binadamu km wewe mabo ungeweza watetea mkia ktk kundi la simba....Leo upo too naive hujaona wapi ulikosea njia.Hujaona wapi maisha yako yangenkwenda bila "Jisalimisha kwa adui".
Ni kipindi cha kujirudi na kufikiri mara mbili maamuzi yako.....ujisamehe mwenyewe kwa kuwa mbio sana.Umlaumu sana shetani aliyekupeleka mbio..."piga magoti tumu ulipo" halafu nenda mbele ukiwa tofauti.
Tusubiri asakari wepi tena?Wewe si ulikuwa polisi nini hukijui kuhusu utamaduni wao wa siku nyingi?Chris km umekwenda ulaya bado maisha yako yanategemea bahati nasibu ni wazi huwezi tena kutoka.unahitaji Mungu sasa."UTANIKUMBUKA SIKU MOJA UTALIA SANA".Unampigania usiye mjua,vita ikikaribia kufanikiwa upande wa adui "utamsikia adui kwa kauli yake atakuja ili achukue ushindi" roho yako itakuuma sana.Ila utakuwa umechelewa sana.Na wewe utakuwa huna tena kazi zaid ya kuwa mzigo,kwani hutakuwa wa kudni lao.
Yea. this is very sad and very unfortunate. Poleni sana wafiwa na wale waliojeruhiwa.Poleni sana wana Arusha mumgu awape nguvu tutafika tuendako
Badala ya kuokoa nyie mnapiga picha na kuaplod Jf.
Poleni sana majeruhi.
Kuna taarifa kuwa Mwigulu amekimbia Arusha, usiku huu, please wana Arusha, mkamateni huyu jamaa, asiotoke! Kama ni Airport tupeni taarifa akifika Dar tumdake!