Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Poleni. Siasa uchwara na uroho wa madaraka ndiyo chanzo cha haya.
 
usiweweseke mkuu. waache polisi wafanye kazi zao ili ijulikane mbivi na mbichi
Mkuu wangu,
Huwa napenda sana kuachia vyombo vya dola kufanya kazi zao lakini wanashindwa ku-deliver! Mathalani, chukulia yule mtuhumiwa ambae anashikiliwa kuhusiana na mlipuko pale Kanisani; hakika hapahitaji shahada ya tafakuri tunduizi kufahamu kwamba yule dogo alitumwa tu; so who're the Mastermind kwenye tukio lile? It's almost two months now or so lakini mastermind hawajakamatwa! Wapi mastermind wa tukio la Kibanda?! Kutokana na hilo, wahalifu wameshagundua kwamba jeshi letu wana mapungufu katika hili na ndio maana wanaendelea kupanga uhalifu coz' wanafahamu hawatajulikana!

Binafsi, naamini matukio mengi yanayotokea ni FRAMING na hamna matukio mabaya kama ya FRAMING/FABRICATED coz' yanapotokea mara nyingi huwa anayedhaniwa kuwa ndiye huwa sie!
 
Tumuogopeni huyu jamaa anayeitwa mwigulu, kuwepo kwake Tanzania itakua haiwezi kukalika tena.
 
unaandika kwa sababu una chuki, unapotosha na kudanganya..shame on you

Yeye ndie alikuwepo na ameshuhudia hivyo,kwann useme anachuki binafsi?nadhani wewe ndie mwenye matatizo shame on you too
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha uchaguzi wa udiwani katika jiji la Arusha ktk kata 4 za Kimandolu,Elerai,Kaloleni na Themi kutokana na mlipuko uliotokea jana katika mkutano wa CHADEMA.Uchaguzi huo utafanyika 30/6/2013 badala ya leo.
 
Siamini kama hapa ni CCM ndo wamehusika na kasumba hii, Siamin kama kuna harufu ya itikadi za vyama kuleta saga hili, Hapa ni muendelezo wa watu wachache wanaotaka kutugombanisha watanzania kwa itikadi za udini na uchadema na uccm.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha uchaguzi wa udiwani katika jiji la Arusha ktk kata 4 za Kimandolu,Elerai,Kaloleni na Themi kutokana na mlipuko uliotokea jana katika mkutano wa CHADEMA.Uchaguzi huo utafanyika 30/6/2013 badala ya leo.
Source:Star tv breaking news.
 
ccm nchi imewashinda,, mnakotupeleka cko. damu inalia ipo cku kila lililofichwa litawekwa wazi, inauma sana jama, Polen majeruhi. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMENI
 
mkuu sombombo, kama usipopigwa ban sijui? maana hayo maneno yako ni uchochezi mtupu. si umeambiwa kuwa bomu lilirushwa toka gari la matangazo la chadema? hapi mwigulu anaingiaje?

Wewe ni ----- na Senge! Sisi tulikuepo eneo la tukio na sio kweli bomu lilirushwa kutoka gari la matangazo la CHADEMA!! Msipende kushadadia mambo ya uongo kumaanina zako!
Bomu lilirushwa kumlenga Mbowe aliekua akishuka jukwaani kwenda kukusanya Pesa,na baada ya bomu kulipuka watu wakatahayari na kuanza kukimbia kuokoa maisha.
Cha ajabu baada ya bomu kulipuka na kuuwa,Polisi nao wakaanza kupiga risasi hewani na kurusha mabomu ya machozi.
Hadi sasa sijajua haswa lengo la polisi ilikua ni lipi. Nina hasira sana na sipendi kuona mtu mzima unaandika Usenge kama huu!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Tumuogopeni huyu jamaa anayeitwa mwigulu, kuwepo kwake Tanzania itakua haiwezi kukalika tena.

wapi sheikh ilunga na uamsho?. Tuliaminishwa kuwa hawa ndio magaidi. Ndugu zangu tusikibali kucheza ngoms tusiyoijua. Nawapa pole wote walioathirika kwenye tukio hili la likatili.
 
Hautpaswi kukimbilia jibu kuwa ni chama fulani kimehusika moja kwa moja ikiwa hujafanyika uchunguzi kwani kwa kufanya hivyo itatuzuia kuupata ukweli mwingi zaidi wa jambo bado tunapaswa kuupisha uchunguzi ili lipatikane la kuongelewa na kuongeleka

Hofu ya wengi ni kwamba Uchunguzi utafanywa na nani na lini?.Kuna Matukio Mengi ya hivi karibuni ambayo bado hayajafanyiwa uchunguzi na Watu hawajui ni lini watajua ukweli wake.
 

kweli unahasira kamanda na mod wasije wakakupga ban
 
Mungu ni mwema...auwaye kwa upanga atauawa kwa upanga!!!

Umenena vyema.Mungu huadhibu mpaka KIZAZI cha Tatu na cha Nne cha wamchukiao.Kwa watakaokuwepo Miaka Ishirini Ijayo watashuhudia haya.
 
Watanzania wenzangu bila kujizungusha wala kusita damu hizi zilete mabadiliko na tusicheke na yeyote tena!
Tumegeuzwa mabwege kwa kuhubiri amani majukwaani.
Nyie waandishi wa habari hasa wamiliki onyesheni mfano kwa kuuambia ulimwengu ukweli.
Inatosha!
 
Kwa nini wtz Mambo Mazito tunayachukulia kiwepesi hivi?

Kwa nini Mambo Mazito tunaingiza tafsiri za kishabiki?

Nimesoma thread nyingi kuhusiana na ajari ya bomu jana. Lakn cha kushangaza watu wamesha fika hatua za kunyosheana vidole.

Tuwaachie polisi wafanye kazi. Kama CCM Inatajwa kuhusika, hata CDM inaweza pia ili kuongeza Mobility ya watu. Politics is a bad game, lakn hata Mahalamia wanaweza kudo like.
 
The Hague naona ndio kunawahusu hawa wanaocheza na roho za watu.
 
Binafsi nimehuzunishwa sana na maafa yaliyotokea Arusha.
Nahisi hata mimi ningeweza kukumbwa na matatizo kama hayohayo kwani huwa nahudhuriaga mikutano ya hadhara ya vyama vyote.
Nashauri iundwe timu yenye uaminifu kwa ajili ya kukusanya michango ya kuwasaidia wale wote wsliojeruliwa vibaya
 
pumbavu wewe, hujui kilichotokea unajidai kufungua thread ya kipuuzi, kuna gaidi anapiga risasi za miguu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…