Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Licha ya Mandonga kupoteza pambano hili la pili naweza kumpa hongera kwa kuweza kuleta mwamko kwenye mchezo huu wa ngumi.

Kila nchi kuna asili yake ya kinachowafanya wapende mchezo flani a huwezi kulazimisha iwe kama nchi nyingine, mfano kwa hapa bongo mpira umekuwa kwa kiasi kikubwa sana kwa watani wa jadi kutambiana umwamba, maneno mengi, n.k. Yani kelele, Na hapa muasisi mkubwa nadhani kila mtu anamjua.

Kelele ndio wanazozipenda wabongo wengi, maneno ya kujipa umwamba, maneno ya kebehi, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…