Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Ujue Elon Musk na yeye anajiona hajatoboa maisha haya mpaka awe trillionaire kwa kwanza na apeleke watu kwenda kuishi Mars.

It's all relative.
 

Tupe wewe tafsiri yako ya kutoboa maisha...
 
Nyumba au gari sio sawa na makalio ambayo kila mmoja anayo. Kujenga ni sawa na kuzika hela ardhini na sio kila mmoja mwenye ujasiri huo.
Hakuna kitu kizuri kama kujihakikishia kuwa familia yako itakuwa na sehemu salama ya kuishi bila usumbufu siku ukitwaliwa katika huu Ulimwengu. Hela yangu ya kwanza kubwa kuipata sikufikiria mara 2 zaidi ya kujenga.

Sasa hivi i am happy kuwa familia yangu ina permanent address.
Mengine ni mapenzi ya Mungu
 
Na kitambi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…