Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Wewe ni mchungaji?
 
Kutoboa ni maneno ya kihuni huni tu,ili maisha yawe yenye ustawi chakula,malazi hata kama umepanga,mavazi,usafiri (boda,gari,baiskeli) ni hatua muhimu hasa ukizingatia kuwa tulikotoka haikuwa hivyo.
Hayo ndio maendeleo.
Wenye vitu hivyo ni wazi walijinyima wakati ninyi mnaponda raha.
Vinginevyo ni wivi tu,hakuna jingine.
Credit kwako kwa Uzi wa kutakafari.
 
Bongo shida sana

Umewaza kama ninavyowazaga

Yani mtu ana kigali na kinyumba anavimba

Interesting

Nyumba na gari sio utajiri na hauwezi kuwa utajiri
Tushukuru kwa kila jambo pengine hao ndio wanatafsiri neno maendeleo,that why ukiwaona unadhani wanajidai kumbe wanakufundisha na wewe ukipata ufanye unavyotaka.
 
Te he Te he
Dah🙌🏾

Mjue hawa tunaowabeza wana afadhali kuliko waaaale " matajiri" tunao linganishwa nao.

Ni dhahiri Watanzania wengi wana miliki nyumba na magari yao. Yaani hawana madeni kama ilivyo Tunaolinganishwa nao.

As a matter of fcat. Ukiwa na kiasi cha Shilingi elfu thelathini Mfukoni na huna deni, wewe ni tajiri kuliko asilimia 3% ya Wamarekani. Yaani ni kweli Watanzania wametoboa🤗😊😂😂😂😂🤸🏿‍♀️

Watanzania wengi hawana madeni ukiachilia mbali deni la Taifa; ama ukilinganishwa na Raia wengi wa Ulaya na Marekani.
 
Kwa 2KM umbali huo ni mkubwa sana wakuu ?????😀😀😀.

Kumbe kuna watu tumepitia msoto alafu kumbe tukichukulia kawaida tuuu.

2km si ni umbali wa nyumvani na duka la nyanya thnaponunuaga viungo
 
Hata hapa Japan hali ni hiyo hiyo.
 
Wewe unataka nini zaidi ya hapo??
Ukishakuwa na nyumba Bora ya kulala na Carina lako au Mazda huku ukiwa unamudu ada ya Shule ya watoto na matibabu mengine ni anasa na kujitakia stress.
 
Tumeaminishwa hivyo na social status zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…