Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

kumbe ww
Nafikiri umeelewa ndo maana umepaniki
Labda nikuongezea swali lingine

Hiyo Ist uliyonunua million 10 unafikiri baada ya miatano utaweza kuiuza hiyo Bei ?
Na unafikiri itakuwa imepanda thamani au imeshuka thamani ?

Kama imeshuka thamani , unafikiri umejiongezea utajiri au umaskini ?
mshamba tu
 
Nafikiri umeelewa ndo maana umepaniki
Labda nikuongezea swali lingine

Hiyo Ist uliyonunua million 10 unafikiri baada ya miatano utaweza kuiuza hiyo Bei ?
Na unafikiri itakuwa imepanda thamani au imeshuka thamani ?

Kama imeshuka thamani , unafikiri umejiongezea utajiri au umaskini ?
Ila ww naona una kiwango kdg cha kufikiri hakyamungu unauliza maswali ya kitt sn
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​
Huko kwenu Hali ikoje ?
 
Wanakopa bank na wanalipa kwa mateso makali mnooooooooo usimuone mtu yupo kwenye gari ukahisi ana furaha makato anayokatwa na bank wengine mpaka wanajuta kukopa, askari magereza kakopa M80 sasa anajenga kanunua na gari na mwezi huu anaenda kusoma mke mama wa nyumbani
Askari amekuumiza sana kununua gari au ?
 
Ndugu yangu mmoja alikua km wewe na akili za kindezi bi mkubwa akamuita chini akamshauri usiingie kwenye mikopo ndugu alivyo mjinga kasikiliza ushauri wa mkewe kadharau ushauri wa bi mkubwa kaenda bank katia saini M200 miezi 6 imekata yote nyumba kamaliza gari alikua anatembelea Alphard white ndio ilikua gari yake pendwa alienda kula mzinga k/koo gari ikafumuka mbele aliingia chini ya lori, bank kila mwisho wa mwezi wanakomba ½ na ¼ ya mshahara wake mpaka kichwa kikaanza kumuwaka moto watoto anasomeshwa shule za gharama mpaka akaanza kuwarudisha kayumba mmoja mmoja, usiombee yakukute
Duh kajifunza.
 
Nyumba au gari sio sawa na makalio ambayo kila mmoja anayo. Kujenga ni sawa na kuzika hela ardhini na sio kila mmoja mwenye ujasiri huo.
Hakuna kitu kizuri kama kujihakikishia kuwa familia yako itakuwa na sehemu salama ya kuishi bila usumbufu siku ukitwaliwa katika huu Ulimwengu. Hela yangu ya kwanza kubwa kuipata sikufikiria mara 2 zaidi ya kujenga.

Sasa hivi i am happy kuwa familia yangu ina permanent address.
Mengine ni mapenzi ya Mungu
Umeongea kitu nilkuwa nikiwaza kabla ya kujenga aisee
 
Sasa ukiangalia kudunduliza itakuchukua miaka ndio hivyo kakutana na mwanamke standard 7 failure kampa ushauri katie saini bank tule maisha jamaa kaingia king kilichofuata ni mtiti imem-cost parefu almost miaka 10 na zaidi ku-recover mateso watoto kurudishwa nyumbani kisa karo haitoshi madeni mpaka anakimbiwa ogopa yasikukute
Inamaana ana maden pengine tena inaonekana take home ni ndogo.
 
Back
Top Bottom