Yaan ikamilke na finishing na fensi kwa wananch wa kipato cha kawaida na watumish wa local government ni 45/55 hapo .Unajua watanzania wengi wanamaliza kabisa shughuli za ujenzi wakiwa na miaka mingapi mkuu
😆😆😆 mbona mm nina 32 na nishamiliki ivo vituYaan ikamilke na finishing na fensi kwa wananch wa kipato cha kawaida na watumish wa local government ni 45/55 hapo .
PointPeople should just mind the business that pays them!
Kwa nini mnapenda kujishughulisha na mambo ya watu wasiowahusu?
Yeah ndio hivyo ukubwa dawa hawa mabibi na mababu zetu wamekula chumvi nyingi wakikwambia kitu usifanye usikaze fuvu wao walitangulia kuiona dunia na wamejifunza mengi mno kwenye mapito yao mpaka uzee unawakutaInamaana ana maden pengine tena inaonekana take home ni ndogo.
Gari au kua na chombo chochote cha usafiri sio ishara ya utajiri kua na nyumba ya kifahari sio ishara ya kua wewe ni tajiri au maisha umeyapata, ni vitu vya kawaida mno ndio maana wenye utajiri kweli hukuti wakijiona kua na vitu vidogo km hivyoSasa kama hio target ya mtu alafu ameifikia unawezaje kusema kwamba hajatoboa ? Hayo hayo matobo unataka akuridhishe wewe ?
Maana ya mafanikio Success ni kufanikisha kile ambacho umekianza / ulitegemea kukifanya...
To each his/her own ila nikuache na huu uzi utakusaidia
Hakuna ila namuonea huruma jinsi atavyolipa kwa msoto mkali hizo pesa take home 80k/100k/150k madeni madeni madeni mpaka unataka ukajifukie kifuatacho ngoja nifunge domo languAskari amekuumiza sana kununua gari au ?
Toa SI unit ya kutoboa maisha tajiri..na utajiri ni nini? Kwa wengine good health is rich forever. Cha msingi kila mtu apambanie leo yake iwe bora kuliko jana..kila mtu aishi apendavyo, kikubwa kutovunja sheria..dunia ina watu mchanganyiko..elewa mchanganyiko..vinginevyo tungekuwa malaika.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha...
Wengi wanapiga hatua kuzidi uwezo unajua ukipiga hatua kubwa kuzidi uwezo unachana msamba au haujui? sasa ndio yanayowakuta wengine, kuna mtu analazimisha kuonekana na watu kwamba na yeye hajaachwa nyuma sasa hapo ndipo maamivu yanapokuja ukitaka kuwaonyesha watu kwamba na mimi sipo nyuma nimenunua gari zaidi ya milioni 10 nimejenga nyumba milioni 100 kasoro sasa jiulize huyo mtu je ni mtu mwenye hadhi ya kushika hio milioni 100 kwa mkupuo ameshinda bingo? Hakuna basi jua behind kuna maumivu makali mno mno mno ambayo wewe hauyajui usione anatabasamu akiingia chumbani hujui mlio anaoliaMaisha ya stages hivi mtu kaanzia kutembea kwa mguu nakupanda daladala kuwaza kulipa kodi za nyumba, leo mtu anapata sehemu yakujistiri na usafiri juu ni moja hatua ya mafanikio you never know the next stage shall be.
Unajua maana ya Utajiri ?Gari au kua na chombo chochote cha usafiri sio ishara ya utajiri kua na nyumba ya kifahari sio ishara ya kua wewe ni tajiri au maisha umeyapata, ni vitu vya kawaida mno ndio maana wenye utajiri kweli hukuti wakijiona kua na vitu vidogo km hivyo
Kwa kujitakia au? Kuna mtu anajitakia nyumba au shule au hospitali iungue moto? Ila kuna watu wanajitakia kulimbikiza madeni bank ili nao waonekane wanaishi maisha ya kifahari copy that?Hayo nimatokeo mtu yeyeto yanaweza kumpata. Tumeona maduka ya watu yakiungua moto nyumba,shule na hospital watu wanarudi moja kabisa. cha msingi ni uzima
Hapa mzee tunaenda anticlockwise kabisa yaan mawazo na mtizamo wetu unakinzana mimi nazungumzia kingine na wewe unazungumza kingineUnajua maana ya Utajiri ?
Wewe unaweza ukawa una gunia kumi za mahindi lakini mahitaji yako ni gunia 20 wakati mimi nina gunia moja lakini mahitaji yangu ni punje moja nani hapo tajiri na nani masikini ?
Ukiishi according to your wants na sio watu wanakuonaji utakuwa na utajiri wa nafsi....To each their own...
Sio kweli kwamba kila mmbongo anawaza hivyo, ndiyo maana nikahisi jama atakuwa milionea (in usd) nikamuomba tu angalau jina nikapate motivations maana yeye inaonesha hawazi kujenge nyumba na kununua gari.Ameelezea tu Hali halisi ya wabongo mkuu au sio kweli ?
Naam na ukiishi kwa mtizamo wako na sio kutaka mtizamo wako uwe mtizamo wa wengine nadhani utaona kwamba watu ni tofauti..., Na nini kazi ya pesa au wealthy zaidi ya furaha na peace of mind ?Hapa mzee tunaenda anticlockwise kabisa yaan mawazo na mtizamo wetu unakinzana
Nikakope ili niishi kwa msoto? Hivi unaelewa ninachozungumza au unachukulia juu juu? Ushawahi kufilisiwa kwa kushindwa kuilipa bank? Ushawahi pigwa mnada kijumba chako ulichojenga kwa pesa za bank?siyo wote. Halafu mkuu ukiona mtu anakopesheka kwenye Taasisi kubwa mheshimu hyu jua wazi ana sifa na vigezo vyote hivyo anastahili.
Kama unaona ni rahisi kakope mkuu
Sikio la kufa haya fanya unavyoona kwako ni sawa ila msimamo wangu upo pale nyumba na gari sio kwamba umejipata ni akili za ulimbukeni tu na mawazo ya kimasikiniNaam na ukiishi kwa mtizamo wako na sio kutaka mtizamo wako uwe mtizamo wa wengine nadhani utaona kwamba watu ni tofauti..., Na nini kazi ya pesa au wealthy zaidi ya furaha na peace of mind ?
Kwahio aliyepata kichache kwa macho yako lakini anaona amefika ni kweli ametoboa kuliko wewe mwenye kingi lakini unaona bado hakitoshi (Yeye ametoboa na wewe bado haujatoboa)....
Kujenga nyumba na kumiliki gari sio kwamba umeyapatia maisha mkuu jifunze kwa waliotangulia eeh watu mibichwa migumu kuelewa maezenuSio kweli kwamba kila mmbongo anawaza hivyo, ndiyo maana nikahisi jama atakuwa milionea (in usd) nikamuomba tu angalau jina nikapate motivations maana yeye inaonesha hawazi kujenge nyumba na kununua gari.
Ukifika level zao,utakuwa kama wao.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha...
Sio kila mwenye gari na nyumba ni tajiri au ameyapatia maisha wana hali ngumu wengine wakiona hawatoboi wanaanza kuuza kimoja kimoja kuna visa natamani nisimulie ila mjinga muache na ujinga wake vitu vingine ni siri sio kila mtu anafundishwaUkifika level zao,utakuwa kama wao.
Umaskini ni source ya uchawi