Bongo hakuna wenye sifa ya Uhadhiri? Re-Advertisments zimekuwa nyingi

Vyuo vya kati wanachukua hiyo 3.5 bado hawapati watu.
 
Academicians hawana muda wa kufanya mambo mengine unless a outsource. Time is very limited to them.
Kuna moja hapo Coet alikuwa ana kitanda ofisini.
Muda mwingi wapo kazini...mara research, supervising, marking, updating knowledge, seminars, papers, teaching, fields etc Hana hata muda wa kukaa na familia
 
Kazi zote hizo pesa inaingia kwa nini asilale ofisini
 
I agree...wengine wengi walikuja kustuka too late. Nakumbuka one day ktk semina semester ya mwisho mwaka wa mwisho Dr. alitangaza mwenye GPA ya 3.8 amfate kuna kazi. Hapo nakumbuka ilikuwa hata hatujafanya UE ya mwisho. Well, none followed him, none had.
 
Kazi zote hizo pesa inaingia kwa nini asilale ofisini
Vingine wala siyo issue ya pesa ni sifa za kitaaluma tu. Ingawa kadri anavyozidi kukwea kitaaluma ndo mshahara unazidi. Ila hoja ya mdau hapo ni kuwa PhD wa wizarani na huyu wa chuoni wa wizarani anafaidi zaidi kuliko wa chuoni. Ndiyo maana Kitila, Kabudi, Buliani etc hawarudi kirahisi vyuoni
 
Kuna test tuliwai fanya Sasa Kuna watu wakaenda Kwa huyo Dr. R.I.P
Kumuomba marks 🤓

Alicho wajibu,
Lecturer has no marks To Give...Ntazitoa wap Mimi Sina maksi za Bure za kuwagawia😂😂🤣

Imeisha iyo watoto wa town NDIO misemo Yao.... jamaa hatoi maksi za Bure na ni mwalimu mzur sana yupo Fair na very humble to the earth 🌍
 
hao wanaosimamia usaili wakafundishe wao kuliko kurudiwarudiwa kwa tangazo hilo kila wakati kana kwamba nchi hii hakuna wasomi
 
Hadi research inakuwa haina malipo ya ziada?
 
You were there! Well and good mate.
 
Umenena ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…