Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Daah kweli kamanda.huwa nachukia sana kuwekewa hayo makitu kwenye safari ndefu.yanaboa kupitiliza
 
Wapeni Nafac watafanya vzuri tuwape moyo jamani
Sister Maryam, hupewa nafasi wale wenye kutambua makosa yao na kuomba radhi.

Hawa hawastahili kwani wanajiona wana haki na ujuaji mwiiingi, wakati ni kinyume chake.

Unawezaje kuwapa nafasi watu wa namna hii...
 
Hawawezi hata kufikiria ni kwa nini marehemu Steven Kanumba alifanikiwa kwa kiasi kuliteka soko la bongo movie ili wafuate nyayo zake.
R I P The Great
 
Kivipi
 
Aliact peke yake movie nzima?
 
Back
Top Bottom