Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Elimu! Elimu! Elimu
 
...Usitetee Ujinga, ndugu yangu. Shilole amechemsha big time.
Kumwambia Mtu ana kikwapa, mbele ya national tv, ni kumtweza Mtu na Utu wake.
Chukulia wewe mwanao ni Mlemavu wa Mguu, halafu Jinga Moja linamuambia mbele ya national tv kuwa...naona una Mguu mbovu!... wewe utafurahi Kwa sababu mwanao kweli ni Mlemavu ?
Huyo Msichana amemjibu vyema kablsa...VUMILIA! NI YA KIDUNIA! Kwa Ujinga huu Kuna Siku mlemavu wa ngozi Albino atafika mbele yake na kumwambia...naona wewe zeru zeru...na sisi tucheke Eti Kwa vile ameongea kilicho kweli ???
Ujuaji unapaswa kuwa na mipaka! Ni BUSARA ya Kawaida TU isiyohitaji Shule kuubwa !
 
Sijui huwa wanatumia vigezo gan kupata majaji, ila shilole alikosea sana bora angemwambia yeye binafsi na sio kuropoka. Kama kuna namna ya kuweza kuwajibishwa kwa ujinga wao wawajibishwe
 
Watanzania Hawajui Sheria Huyo Wangemshtaki tu...
 
Wewe huangalii Ila wanao wanaangalia au huna watoto huna familia hujui kulipia kingambuzi? Maana ukilipia hizo ndio channel zao sinema zetu na series na mwingine ole wako ubadirishe channel
Watoto wangu hawapo huku
Mzee,nashukurugi sana kwa hilo
Maana kizaz cha watoto wenu sahv
Kimekata kamba,wakati wa likizo tu
Huwa wanakuja mtembelea baba yao
Baharia

Ova
 
dah shilole unadahau usilivyokuwa weita florida hotel kariakoo,ulivyokuwa unaliwa na wageni,ukawa unaliwa na mwenye hoteli na ukafikuzwa umesahau huo uchafu uliokuwa unafanya?
 
Shishi kamtendea haki huyo binti wa mkoani wamezidi uchafu. Mimi binafsi sipendi harufu ya kwapa demu akinuka kwapa hawezi kuwa hata mwanangu.
Nb deodorant zipo mpaka buku 5 alafu unyama kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…