Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli.
Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini wanakimbilia kwenye makampuni makubwa ila kwa kazi locally kumejaa matapeli. Most guys wanatumia AI kudeliver kazi ambayo wenyewe hawaelewi deeply.
Fuatilia kwa karibu utaona kinachosemwa hapa!!!