Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,378
- 2,534
Do your homeworkmtupe mifano sasa ya hizo systems , app, sites za kueleweka zilizopigwa bila ma dev tuone kwa mifano tuhamasike
Do your homeworkmtupe mifano sasa ya hizo systems , app, sites za kueleweka zilizopigwa bila ma dev tuone kwa mifano tuhamasike
umeeleweka mkuu 😁 mi nimekuelewa sana aiseeDo your homework
Nikupe namba zake uoneSystem kwa laki moja na nusu???!!! Huyo mteja nae ni kichaa. 2016 baada ya kutoka chuo deal yangu ya kwanza nilikunja 1mil kutengeneza very simple basic mobile app ndani ya wiki 1, sikuhizi kumbe hata system unaweza pata kwa 150k hii ni maajabu
Inaweza ila developer lazima awepo tu kwenye baadhi ya issue including making decision based on requirements zilizopo. Tulipo Sasa AI haijafika seniority level ya senior developerKwani muda unavyodhidi kusogea AI si inadhidi kuimarika kwahiyo si kuna uwezekano wa hizo field unazozitaja kuchukuliwa pia au unaonaje kiongozi?
Define a website and define a Content Management System.Mpaka leo mtu bado anaamini WordPress ni kwa ajili ya blogs tu kweli???
Bro nna system apa Ina features zifuatazo:Mpaka leo mtu bado anaamini WordPress ni kwa ajili ya blogs tu kweli???
Sio kweliMko nyuma sana wajomba mpaka nasikia vibaya , as of today, huhitaji tena developer ili ku-create app, workflow or website , kuna no coding platforms nyingi sana or tumia tools kama codex, Gemini, claude etc, AI inatengeneza applications hadi za enterprise level mpaka deployment ,sio lazima uwe software engineer au hardcore coder, just an idea, vision, na mdomo wako tu kuelezea unachotaka, amkeni dunia imebadilika
Sio kweliSoftware development jobs are officially dead, ukweli ndio huo, software companies like sales force share tayari zimeanguka almost 50% in 3 month, India big companies like infosysi na Tata wako in free fall, AI haitamwacha mtu salama
Halafu hio ni simple app kabisaa hapo haujampa ngumu yenye subsystems za kutosha lazima AI achanganyikiwe faanya mchezo nini, eti unampa tu maelezo AI anafanya oya huyu huyu AI ambae unamwambie apige screenshot halafu ukimuuliza kilichomo kwenye hio screenshot anakwambia yeye hajui labda umwambie wewe unaona nini maana yeye hakuna anachokiona kwenye hio screenshot aliyoipiga au kuna AI mwingine?Bro nna system apa Ina features zifuatazo:
User anatakiwa kufanya yafuatayo
1. Signup
2. Login
3. Logout
4. Send application form kwa system admin.
5. Admin aweze kutuma notification through email na system after a successful answer.
6. Payment integration each form inahitaji kulipiwa before submission yaani application payment.
7. After successful application ya form mtengeneze user na aweze kuona profile yake na info zake alizotuma during application.
Based on the above requirements unaweza vp ukanitengenezea the above system without touching even a single line of code?
UongoSoftware development jobs are officially dead, ukweli ndio huo, software companies like sales force share tayari zimeanguka almost 50% in 3 month, India big companies like infosysi na Tata wako in free fall, AI haitamwacha mtu salama
Ni President & Chief Products Officer (CPO), CiscoJeetu Patel CEO wa Cisco
Hapa lazima ukubali kushika code tu ingawa AI na no code tools zinarahisisha maisha ila sio kwa kila system mifumo kama payment logic inahitaji mtu ajue maana a single mistake may lead to security issue.Halafu hio ni simple app kabisaa hapo haujampa ngumu yenye subsystems za kutosha lazima AI achanganyikiwe faanya mchezo nini, eti unampa tu maelezo AI anafanya oya huyu huyu AI ambae unamwambie apige screenshot halafu ukimuuliza kilichomo kwenye hio screenshot anakwambia yeye hajui labda umwambie wewe unaona nini maana yeye hakuna anachokiona kwenye hio screenshot aliyoipiga au kuna AI mwingine?
Ndio tunajaribu kusema apa binadamu ana nafasi yake AI is just a tool. Haina uwezo wa mwanadamu, ila Ina uwezo wake kama mashine.Kwani hizo AI zenyewe si kuna devs wamezitengeneza? Siku hiyo AI ikwambie "samahani siwezi kutengeneza code hiyo kwa sasa, tafadhali jaribu tena baadae" wakati huo hujui 1 wala 2 kwenye coding, unafikiri utafanya nini?
binadamu atabaki kuwa binadamu.
Hivi unaelewa maana ya AI? Mimi nimewahi tengeneza simple AI kwa kutumia Visual Studio, AI ni human made huwezi shindana na AI kufanya jambo lakini behind AI kuna Binadamu alieiunda hio AI, na AI ikitumika vibaya ni hatari tena ni hatari sana kuliko unavyofikiria AI inaweza kutumika katika Wizi wa Mabillion au Matrillion duniani km isipotumika vizuri AI inaweza ikaisambaratisha Dunia ikaua Wanadamu wote ndani ya siku 1 tu km isipotumika vizuri, ndio maana kuna uhitaji wa udhibiti wa Mwanadamu nyuma ya AI, sasa anaamka kima mmoja anasema eti AI inafanyaje au inaweza kufanyaje? Fikiria upya, mfano mdogo ni kwamba AI inaweza kutengeneza Movies na Series mbalimbali vizuri kabisa zikiwa na muonekano wa binadamu na mazingira ya kibindamu au yasiyo ya kibinadamu na pia inaweza kutengeneza Animation mbalimbali vizuri kabisa ila haileti ule uhalisia wa Mwanadamu kuna watu wamefanya sana research zao kwenye hilo suala, wamejaribu na baadae wakagundua AI inaweza kufanya kila kitu ila kuna baadhi ya vitu hata wafanye vipi inashindwa kufanya sababu AI sio binadamu, kuna mtengenezaji mmoja wa filamu ameiongelea hii kiundani sana na kutolea ufafanuzi kwenye documentary yake moja ukisearch YouTube utaipata, baada ya kugundua hivyo wakaachana na hizo project isipokua tu wanaitumia kwenye kuongezea baadhi ya maudhui katika hizo Movies na Series lakini binadamu anaachwa palepale, sababu tu ni kwamba AI haiwezi kufanya km Mwanadamu AI atabaki kua AI yaan ni man made creation na Mwanadamu atabakia kua Mwanadamu muumbaji wa hio AI unayoitumia, Mwanadamu muda wowote anao uwezo wa kuiharibu hio AI au kuifanya anavyotaka yeye sababu nyuma ya AI kuna Codes sio kitu kingine zaidi ya Codes na hizo codes hata wewe km ni programmer mzuri unaweza kuziandika au kuzifanya unavyotaka, sasa linapokuja suala zima la security ndipo mleta mada anakwambia kua hapo lazima Mwanadamu akae nyuma ya AI bila hivyo AI anaweza akafanya mambo ya ajabu kinyume na Mwanadamu Dunia nzima ikaungua Moto.Lakini si kama AI, AI ni next level, ukiweka maswali ya data structure na algorithms inaandika code fasta, wakati huo wewe unatumia muda mwingi ukikuna kicwa...
Jibu lako from Gemini na if you do simple homework you can use AI like ChatGPT, DeepSeek, Gemini or any to give you a guidance to build what you want, just say I don’t know how to code,I want to build an application or something I need you to help me, how do I start, sema chochote utashangaaSio kweli
Kiongozi ninapoongelea mimi nimevuka huko kote kwenye nani kaitengeneza na nani anaweza kui control, naelewa na sijabisha hilo...Hivi unaelewa maana ya AI? Mimi nimewahi tengeneza simple AI kwa kutumia Visual Studio, AI ni human made huwezi shindana na AI kufanya jambo lakini behind AI kuna Binadamu alieiunda hio AI, na AI ikitumika vibaya ni hatari tena ni hatari sana kuliko unavyofikiria AI inaweza kutumika katika Wizi wa Mabillion au Matrillion duniani km isipotumika vizuri AI inaweza ikaisambaratisha Dunia ikaua Wanadamu wote ndani ya siku 1 tu km isipotumika vizuri, ndio maana kuna uhitaji wa udhibiti wa Mwanadamu nyuma ya AI, sasa anaamka kima mmoja anasema eti AI inafanyaje au inaweza kufanyaje? Fikiria upya, mfano mdogo ni kwamba AI inaweza kutengeneza Movies na Series mbalimbali vizuri kabisa zikiwa na muonekano wa binadamu na mazingira ya kibindamu au yasiyo ya kibinadamu na pia inaweza kutengeneza Animation mbalimbali vizuri kabisa ila haileti ule uhalisia wa Mwanadamu kuna watu wamefanya sana research zao kwenye hilo suala, wamejaribu na baadae wakagundua AI inaweza kufanya kila kitu ila kuna baadhi ya vitu hata wafanye vipi inashindwa kufanya sababu AI sio binadamu, kuna mtengenezaji mmoja wa filamu ameiongelea hii kiundani sana na kutolea ufafanuzi kwenye documentary yake moja ukisearch YouTube utaipata, baada ya kugundua hivyo wakaachana na hizo project isipokua tu wanaitumia kwenye kuongezea baadhi ya maudhui katika hizo Movies na Series lakini binadamu anaachwa palepale, sababu tu ni kwamba AI haiwezi kufanya km Mwanadamu AI atabaki kua AI yaan ni man made creation na Mwanadamu atabakia kua Mwanadamu muumbaji wa hio AI unayoitumia, Mwanadamu muda wowote anao uwezo wa kuiharibu hio AI au kuifanya anavyotaka yeye sababu nyuma ya AI kuna Codes sio kitu kingine zaidi ya Codes na hizo codes hata wewe km ni programmer mzuri unaweza kuziandika au kuzifanya unavyotaka, sasa linapokuja suala zima la security ndipo mleta mada anakwambia kua hapo lazima Mwanadamu akae nyuma ya AI bila hivyo AI anaweza akafanya mambo ya ajabu kinyume na Mwanadamu Dunia nzima ikaungua Moto.
Watu mnahamisha mada...Ndio tunajaribu kusema apa binadamu ana nafasi yake AI is just a tool. Haina uwezo wa mwanadamu, ila Ina uwezo wake kama mashine.
Mimi nawaeleza hapa wanaanza kuleta ushindani wa binadamu na AI..Mko nyuma sana wajomba mpaka nasikia vibaya , as of today, huhitaji tena developer ili ku-create app, workflow or website , kuna no coding platforms nyingi sana or tumia tools kama codex, Gemini, claude etc, AI inatengeneza applications hadi za enterprise level mpaka deployment ,sio lazima uwe software engineer au hardcore coder, just an idea, vision, na mdomo wako tu kuelezea unachotaka, amkeni dunia imebadilika
Una maana wana review hizo codes ni hosting company au Linux kernel? hapo ndipo swali langu lilikuwa..90% of the world Ina run kwenye Linux OS I think hata JF wanatumia, pia simu duniani 71% ni Linux the Android you see imetengenezwa on top of Linux. Sasa Linux kernel ipo maintained na vitu vingine vimechukua na kucostumize.
Kwakuwa Operating System ni critical na inahitaji perfomance, security kubwa, stability hatuwezi ku-program roughly na AI inabidi code zipitiwe mara kadhaa kupitia test mbalimbali kuhakikisha hamna makosa yatakayotokea.