Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

Umekariri vibaya na bado una uzamani
Bro na code almost everyday, experts ndio wanaofaidi matunda ya AI kwenye issue za coding. Ila beginners wanateseka mno mtu anaship may be simple app within 2 days na vibe coding inakamilika inabidi aje afix bugs week nzima. Pia Kuna baadhi ya sehem critical mfano Linux kernel Sasa hivi huwezi peleka code zisizo quality wakubali na AI bado ipo kwenye improvement atleast Claude Opus ipo vizuri but not on seniority level ya experienced devs.
 
Nadhani hivi sasa AI inaweza kuandika 90% ya code, kwenye hio 10% ndipo dev asiye mbabaishaji ataonyesha uwezo wake..

Hivyo Dev makini ataitumia AI kama tool kumsaidia kurahisisha kazi na kuboresha, lakini dev asiyejua kitu ataitegemea AI 100% kitu ambacho lazima atatoa kazi mbovu.. umuhimu wa devs unabaki palepale, kumbuka dev makini anaweza isahihisha AI..
Hajajulikana that's we still don't trust it. The issue is making logic than writing the actual code AI kwenye reasoning hadi sasa haijafika level binadamu it is projected by 2030 itafika uwezo wa kufikiri kama binadamu ila bado decision making ability yake ni ndogo compared to human being.

Yeah and this is why AI inabakia kama tool kwa experts though junior na beginners wengi Wana code blindly bila kuelewa wao ni kitu kifanyike bila kujua long term effect ya mistakes or poor written code.
 
Una maana ipi? Linux kernel ipi wanakubali codes quality?
90% of the world Ina run kwenye Linux OS I think hata JF wanatumia, pia simu duniani 71% ni Linux the Android you see imetengenezwa on top of Linux. Sasa Linux kernel ipo maintained na vitu vingine vimechukua na kucostumize.

Kwakuwa Operating System ni critical na inahitaji perfomance, security kubwa, stability hatuwezi ku-program roughly na AI inabidi code zipitiwe mara kadhaa kupitia test mbalimbali kuhakikisha hamna makosa yatakayotokea.
 
Hajajulikana that's we still don't trust it. The issue is making logic than writing the actual code AI kwenye reasoninkwenyeg hadi sasa haijafika level binadamu it is projected by 2030 itafika uwezo wa kufikiri kama binadamu ila bado decision making ability yake ni ndogo compared to human being.

Yeah and this is why AI inabakia kama tool kwa experts though junior na beginners wengi Wana code blindly bila kuelewa wao ni kitu kifanyike bila kujua long term effect ya mistakes or poor written code.
Hatujailinganisha AI na binadamu kwenye reasonig, lakini yakiwekwa maswali ya data structure na alogorithms hapo, halafu ushindane na AI, ndani ya sekunde chache imemaliza, wewe utachukua lisaa pengine zaidi...

AI imenyima ajira intern wengi kwa takwimu za 2024 hadi sasa, karibu asilimia 25 ya ajira za coder wapya zimeshuka huko ughaibuni...

Na bado ajira zinaendelea kushuka...
Hivyo AI inakuja ku replace sehemu nyingi kwenye career mbali mbali za watu, inabidi mjiandae kwa hilo....
 
Yeah nakubali boss, in terms of engineering na shipping products, maintaining, scaling, ensuring security ni kazi ya developer hiyo

Syntax has always been cheap, hata before AI watu si wali kuwa na costumizable boilerplates, libraries, Google, StackOverflow na system zimetengenezwa.
 
Lakini si kama AI, AI ni next level, ukiweka maswali ya data structure na algorithms inaandika code fasta, wakati huo wewe unatumia muda mwingi ukikuna kicwa...
 
Leo hii, yaani leo leo tarehe 12/02/2025, Ulaya na US nzima inarindima na maelezo ya Jeetu Patel CEO wa Cisco
Baada ya kusema sasa tayari wameshatengeza platform kwa kutumia AI kwa 100%
Na amesema kama wewe ni DevOps na hutaki kutumia AI basi kazi yako iko mashakani kama unafanya kazi ndani ya Cisco
Amesema sasa sio tena wanaitwa Bots, bali wanaitwa AI Agents, kwa hiyo kama hutaki kuwajua na kufanya nao kazi, kibarua chako kiko matatani

Mko nyuma sana wajomba mpaka nasikia vibaya , as of today, huhitaji tena developer ili ku-create app, workflow or website , kuna no coding platforms nyingi sana or tumia tools kama codex, Gemini, claude etc, AI inatengeneza applications hadi za enterprise level mpaka deployment ,sio lazima uwe software engineer au hardcore coder, just an idea, vision, na mdomo wako tu kuelezea unachotaka, amkeni dunia imebadilika
 
Software development jobs are officially dead, ukweli ndio huo, software companies like sales force share tayari zimeanguka almost 50% in 3 month, India big companies like infosysi na Tata wako in free fall, AI haitamwacha mtu salama
 
Bro nikupe kazi na no code platform unitengezee app inayohitaji low level performance?

Hivi vitu vinahitaji mtu ajue usipojua unakuwa unabahatisha vp utaweza kumaintain hiyo project, scale it na kuhakikisha ni secure especially for no coding platforms?
 
Software development jobs are officially dead, ukweli ndio huo, software companies like sales force share tayari zimeanguka almost 50% in 3 month, India big companies like infosysi na Tata wako in free fall, AI haitamwacha mtu salama
Tuje kwenye uhalisia boss Kuna baadhi ya mambo kama software maintainance, scaling, security, ensuring perfomance, upgrading do you think AI does this all AI itajenga nani atafanya haya mengine stills ma engineer wanahitajika syntax was cheap since then zamani ilikuwa Google na docs sasa hivi hizi AI ni tools tu za kurahisisha bado wataalamu wanahitajika mno.
 
Lakini si kama AI, AI ni next level, ukiweka maswali ya data structure na algorithms inaandika code fasta, wakati huo wewe unatumia muda mwingi ukikuna kicwa...
Yeah AI is always faster mahali ambapo haiaminiki ni kwenye issue critical, maintainance, security lazima awepo developer anaefanya review
 
Tuje kwenye uhalisia boss Kuna baadhi ya mambo kama software maintainance, scaling, security, ensuring perfomance, upgrading do you think AI does this all AI itajenga nani atafanya haya mengine stills ma engineer wanahitajika syntax was cheap since then zamani ilikuwa Google na docs sasa hivi hizi AI ni tools tu za kurahisisha bado wataalamu wanahitajika mno.
Kwani muda unavyodhidi kusogea AI si inadhidi kuimarika kwahiyo si kuna uwezekano wa hizo field unazozitaja kuchukuliwa pia au unaonaje kiongozi?
 
Nadhani hivi sasa AI inaweza kuandika 90% ya code, kwenye hio 10% ndipo dev asiye mbabaishaji ataonyesha uwezo wake..

Hivyo Dev makini ataitumia AI kama tool kumsaidia kurahisisha kazi na kuboresha, lakini dev asiyejua kitu ataitegemea AI 100% kitu ambacho lazima atatoa kazi mbovu.. umuhimu wa devs unabaki palepale, kumbuka dev makini anaweza isahihisha AI..
AI Ina makosa mengi tu kwenye mambo mbalimbali.
Nimeshawahi kuikosoa zaidi ya Mara 4 na inakubali ilikosea inafanya marekebisho.
 
Hamna lakini nimejaribu kulisoma soko la bongo aise lipo hivi. Kuna Madeveloper uchwara nimekutana nao mtu anadanganya watu anatengeneza system kwa laki moja na nusu aise na hajui software development yeyote matumaini yake ni AI.
System kwa laki moja na nusu???!!! Huyo mteja nae ni kichaa. 2016 baada ya kutoka chuo deal yangu ya kwanza nilikunja 1mil kutengeneza very simple basic mobile app ndani ya wiki 1, sikuhizi kumbe hata system unaweza pata kwa 150k hii ni maajabu
 
Mko nyuma sana wajomba mpaka nasikia vibaya , as of today, huhitaji tena developer ili ku-create app, workflow or website , kuna no coding platforms nyingi sana or tumia tools kama codex, Gemini, claude etc, AI inatengeneza applications hadi za enterprise level mpaka deployment ,sio lazima uwe software engineer au hardcore coder, just an idea, vision, na mdomo wako tu kuelezea unachotaka, amkeni dunia imebadilika
Nilimwambia mimi mapema tu kuwa siku hizi mambo ni simple kama kumsukuma mlevi na Nafahamu hili zaidi ya miaka 7 au 8 sasa kwamba developers are no longer necessary

Ila humu mara kadhaa siyo leo tu watu wanapenda kucomplicate vitu vya kawaida vionekane vikubwa

Tuwaache tu waendelee kupigwa vizuri, website ya kawaida sana mtu analipa Milioni kuandaliwa kwake

Usiwaamshe!
 
Pia kuna dhana watu wanayo kwamba kadri bidhaa inavyokua na gharama ndivyo inavyokua bora kitu ambacho siyo mara zote ni kweli
 
Nilimwambia mimi mapema tu kuwa siku hizi mambo ni simple kama kumsukuma mlevi na Nafahamu hili zaidi ya miaka 7 au 8 sasa kwamba developers are no longer necessary

Ila humu mara kadhaa siyo leo tu watu wanapenda kucomplicate vitu vya kawaida vionekane vikubwa

Tuwaache tu waendelee kupigwa vizuri, website ya kawaida sana mtu analipa Milioni kuandaliwa kwake

Usiwaamshe!
mtupe mifano sasa ya hizo systems , app, sites za kueleweka zilizopigwa bila ma dev tuone kwa mifano tuhamasike
 
Back
Top Bottom