Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
- #61
Mzee nadhani hujaelewa the issue it is vibe coding Kuna watu wanajaribu kusema AI siku hizi inafanya kila kitu ikiwemo coding nikasema ndio but in a limited aspect Kuna vitu critical kama Kernel huwezi kuandika tu kwa AI inahitaji kila code inayo andikwa iwe reviewed kwa making maana a single mistake is a problem kwa OS users.Una maana wana review hizo codes ni hosting company au Linux kernel? hapo ndipo swali langu lilikuwa..
So to make it clear ni kwamba AI can generate boilerplate but haiwezi kureplace uwezo wa mwanadamu.