Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Hamna lakini nimejaribu kulisoma soko la bongo aise lipo hivi. Kuna Madeveloper uchwara nimekutana nao mtu anadanganya watu anatengeneza system kwa laki moja na nusu aise na hajui software development yeyote matumaini yake ni AI.Mkuu ,
Kuna mtu kakupiga ama nini?
Mjini hapa watu wanafosi mkono uingie kinywani.
Ni sahihiDah,ni kweli haya ndiyo madhara ya vijana kukosa ajira.
Sisemi kwamba Wana utaalamu sana.ila mara nyingi uzoefu mtu huupatia kazini na kuwa expert zaidi.
Sasa tumezalisha wasomi wengi kisha ajira hakuna ,badala yake vijana Wanaamua kujiongeza huku wakiwa hawana experience ya kutosha,anafungua ofisi na kujikuta anatengeneza kazi za kubahatisha.
Umebakia kwenye creativity na analysis peke ake au kuna angle nyengine???AI balaa, nimeona AWS, amazon wanasema 75% ya code inayoandikwa hivi sasa kwenye mifum yao ni AI..
Kikubwa developers wafocus zaidi kwenye creativity na analysis katika kipindi hiki... kuhusu code AI inapiga code si mchezo tena kwa kufumba na kufumbua... lakini bado umuhimu wa devs upo...
Dah mzee maengineer Wana experience mno hao Wana generate boilerplate tu ila sio vibe coding hapa bongo watu Wana vibe code mtu haelewi mstari wa Kodi unamaanisha nini huku ni ifanye kazi tu kitu ambacho ni debt in terms of scaling.AI balaa, nimeona AWS, amazon wanasema 75% ya code inayoandikwa hivi sasa kwenye mifum yao ni AI..
Kikubwa developers wafocus zaidi kwenye creativity na analysis katika kipindi hiki... kuhusu code AI inapiga code si mchezo tena kwa kufumba na kufumbua... lakini bado umuhimu wa devs upo...
System ya nini hasa mkuuHamna lakini nimejaribu kulisoma soko la bongo aise lipo hivi. Kuna Madeveloper uchwara nimekutana nao mtu anadanganya watu anatengeneza system kwa laki moja na nusu aise na hajui software development yeyote matumaini yake ni AI.
Achana na blog some websites zinahitaji experience kutoka kwa experts hizi WordPress nyingi ni blog sio pure websites. Maintainance is an issue hosting ni chap tu.System ya nini hasa mkuu
Kama ni website zipo ready made templates unachofanya ni customization tu na haigharimu hata 10000 ni muda wako tu
Kwa sasa gharama ipo kwenye hosting siyo designing
Unaweza kupata free domain, free hosting, free design kwenye WordPress.com
Unaweza kunisaidia kuwachek ma developer out there walio iva Java+ SpringbootKama uko serious utaajiri dev mwenye portfolio inayoonesha kazi alizowahi kufanya.
Umekariri vibaya na bado una uzamaniAchana na blog some websites zinahitaji experience kutoka kwa experts hizi WordPress nyingi ni blog sio pure websites. Maintainance is an issue hosting ni chap tu.
Hichi kitu wanakisema tokea 2024, hakijawahi kutimia. AI inaweza kuandika boilerplate code tu. Haiwezi ku-debug na kufanya system architecture.AI balaa, nimeona AWS, amazon wanasema 75% ya code inayoandikwa hivi sasa kwenye mifum yao ni AI..
Nadhani hivi sasa AI inaweza kuandika 90% ya code, kwenye hio 10% ndipo dev asiye mbabaishaji ataonyesha uwezo wake..Umebakia kwenye creativity na analysis peke ake au kuna angle nyengine???
AI iliingia kwenye repository za github ambapo devs walikuwa wameandika codes, ikaanza ku correct zile codes na ikatoka na kuonyesha makosa mengi tu...Hichi kitu wanakisema tokea 2024, hakijawahi kutimia. AI inaweza kuandika boilerplate code tu. Haiwezi ku-debug na kufanya system architecture.
Sawa sawa..Dah mzee maengineer Wana experience mno hao Wana generate boilerplate tu ila sio vibe coding hapa bongo watu Wana vibe code mtu haelewi mstari wa Kodi unamaanisha nini huku ni ifanye kazi tu kitu ambacho ni debt in terms of scaling.