Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

Una maana wana review hizo codes ni hosting company au Linux kernel? hapo ndipo swali langu lilikuwa..
Mzee nadhani hujaelewa the issue it is vibe coding Kuna watu wanajaribu kusema AI siku hizi inafanya kila kitu ikiwemo coding nikasema ndio but in a limited aspect Kuna vitu critical kama Kernel huwezi kuandika tu kwa AI inahitaji kila code inayo andikwa iwe reviewed kwa making maana a single mistake is a problem kwa OS users.

So to make it clear ni kwamba AI can generate boilerplate but haiwezi kureplace uwezo wa mwanadamu.
 
Nadhani bado hujaelewa ni nini tunajaribu kuelezea fuatilia mjadala kwa makini utaelewa ni nini kinaongelewa hapa.
 
Mkuu hiyo ni kazi rahisi sana, it is seriously simple, mtoto wa darasa la tano anayejua kiingereza anaweza kufanya kazi hii nikimwelekeza

Kwa bahati mbaya mimi natakiwa kupumzika sasa kama wiki 2 hivi sitakuwa online ningekusaidia hatua kwa hatua.
 
Mkuu ukisoma comment zangu za mwanzoni page ya kwanza mbona nimeeleza vizuri tu nimeeleza vyema umuhimu devs na uwezo wa AI...

Nimesema hapa

Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

Nikaeleza na hapa

Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

Ni wewe ndio unavuta mjadala uende kuishindanisha AI na devs, mimi sipo huko kiongozi...
 
Nadhani bado hujaelewa ni nini tunajaribu kuelezea fuatilia mjadala kwa makini utaelewa ni nini kinaongelewa hapa.
Mkuu hakuna mtu anayefuatilia masuala ya tech aanze kubishana kati ya AI na binadamu nani ni zaidi, AI haina common sense, AI inatumia pattern matching na data training binadamu anatumia reasoning.., AI haina uwezo wa kutambua/kuelewa physical world.. ina maana haija experiene ulimwengu ulivyo...

AI haipo emotional kama binadamu.. hizo mada nilishavuka huko kote lakini unanivuta...

Nimesema hapo AI itumie kama tool..
Nimesema pia makampuni makubwa hivi sasa sehemu kubwa ya codes inaandika AI na devs wanasahihisha/kumalizia sehemu iliyobaki...

Kitu gani hujaelewa hapo...?

Unayosema umuhimu wa devs nimesema ni kweli, lakini nikasema uwe dev mkali sio mbabaishaji... AI inaingia repos za github na ina correct codes za programmer..

Mada za AI agent na binadamu kwenye codes mimi sipo huko... nadhani umenielewa.
 
Mkuu hiyo ni kazi rahisi sana, it is seriously simple, mtoto wa darasa la tano anayejua kiingereza anaweza kufanya kazi hii nikimwelekeza

Kwa bahati mbaya mimi natakiwa kupumzika sasa kama wiki 2 hivi sitakuwa online ningekusaidia hatua kwa hatua.
Bro I want you to do it without touching even a single line of code! Programming man, sio syntax tu it is designed logically brother sasa sijui unarepresent vp kupitia no code.

Pia ukisikia issue zinahusisha payment don't take it simply man, payment integration ni kitu kingine bro.
 
Sawasawa boss...
 
I just don't have time.
 
I just don't have time.
Sijajua experience yako kwenye software boss ila Incase unaweza sidhani kama ungesema hivyo no code tools ni rahisi mno kina Lovable, Trae AI, Bolt AI

Ni simple sana ila ndio ukweli ni kwamba ukija kwenye backend side ya such project huwezi integrate third-party API without touching code.

Maswali kama: What happens if payment succeeds but webhook fails? What happens if user closes browser? What happens if two callbacks arrive? What happens if network times out?

Yote yanahitaji logic ambapo hizi no coding tools haziwezi kukupa
 
Toa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…