Hivi unauhakika hawajakuwepo??hili watu hawalioni........
na tunaweza kuwa na mawaziri nusu watanzania, nusu wamarekani...... sijui wata-serve interest za nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unauhakika hawajakuwepo??hili watu hawalioni........
na tunaweza kuwa na mawaziri nusu watanzania, nusu wamarekani...... sijui wata-serve interest za nani
Ujinga gani huu jamani kwani huwezi kuweka Sheria ya kuwazuia kugombea huo urais wenu! kwingine kukaachwa huru, waziri mkuu wa sasa wa uingereza Ana asili ya India,makamu wa rais wa marekani je?. Ni hasara Sana kuwa masikini Kisha ukawa masikini wa akili na mchoyo.hili watu hawalioni........
na tunaweza kuwa na mawaziri nusu watanzania, nusu wamarekani...... sijui wata-serve interest za nani
Interest zao na ndugu zao hakuna mwekezaji mjinga atawekeza kwenye nchi yenye rushwa kwa sababu anakuwa anapoteza mali zake kwa hiyo usifikiri mwekezaji inabidi awe Mtanzania ndio awekeze hilo nalo ni maajabu ya TanzaniaHadi sasa bila hata kuwa na uraia pacha bado kuna mawaziri wana-serve interest zao na za wawekezaji!
Sasa waulize kwa Nini wanauogopa Sana huo uraia pacha Wana sababu gani za msingi ambazo sisi hatujui.Wanasiasa wajue madhara bila sisi wananchi kujua?
Kwanza wanasiasa ndiyo watakuwa wanufaika wakubwa wa uraia pacha.
Bila shaka hilo ni ajabu lako!Interest zao na ndugu zao hakuna mwekezaji mjinga atawekeza kwenye nchi yenye rushwa kwa sababu anakuwa anapoteza mali zake kwa hiyo usifikiri mwekezaji inabidi awe Mtanzania ndio awekeze hilo nalo ni maajabu ya Tanzania
Hao wanasiasa wanaogopa kuruhusu urai pacha kwani itabidi warudishe mali za watu waliowapora wakisingizia sio Watanzania hiyo ndio Siri kali kesi zitakuwa nyingi mno na wataumbukaWaulize Wana siasa watakuambia madhara ya uraia pacha Ila ni Siri yao
Lako wewe usiyeelwaBila shaka hilo ni ajabu lako!
Kwani bongo zozo kasema anautaka? Anasemea wapwa zetu! Yeye hana shida nao.Tatizo wanaolilia uraia pacha si watanzania tena. Ni kama bongo zozo, na wengine ambao walishaukana uraia wa Tanzania hali wakijua tz kwa sasa hairuhusu uraia pacha. Wameshakuwa foreigners hawawezi wakatuamulia wala kutusemea mambo ya ndani ya nchi yetu. Waheshimu sheria za kimataifa.
Walipaswa wapiganie uraia pacha wakiwa bado ni watanzania, ndipo sauti zao zingesikika.
Mbona hata Raisi Samia ana uraia pacha Zanzibar na Tanganyika?Waulize Wana siasa watakuambia madhara ya uraia pacha Ila ni Siri yao
U makini gani unatakiwa hapa? Bongo zozo anauliza, mtoto mtanzania wa kuzaliwa, au mtanzania wa kuzaliwa, kwa nini umnyang'anye uraia wake wa asili kwa kuwa kapata fursa huko Ulaya? Anachokisema, utanzania wake unabaki palepale. Anasema, mtoto wake ni mtanzania, anapenda kuwa mtanzania, lakini anachukua uraia wa Uingereza ili atumie fursa zilizopo huko kama matibabu, shule nk nk nk. kwa hiyo anachukua passport ys Uingereza ili kuchukua hizo fursa, lakini roho na moyo wake bado ni mtanzania. Kwa hiyo serikali inachotakiwa kufanya ni kutoa kile kipengele cha mtanzania akichukua uraia wa nchi nyingine kwa ajili ya fursa, asiukane utanzania wake. Basi. Mgogoro unakuwa umeisha.Hili swala la ununuzi wa ardhi litaleta shida sana. Kuna watu huko nje watakomesha kwa kununua maelfu ya heka halafu wanayahodhi kimya na kufanya wengine wakose hata sehemu ya kufanyia shughuli za kilimo na ufugaji na ndio mwanzo wa uharibifu wa mazingira.
Me nadhani wawezeshwe kuwekeza kwenye maeneo yaliyopo mfano real estate. Kununua hisa za makampuni ya real estate. Kuwekeza mitaji ya kampuni,kuwekeza kwenye elimu mfano kujenga shule za kisasa zenye teknolojia ya hali ya juu, uwekezaji kwenye miundo mbinu kama kupewa ruhusa ya kujenga barabara ambazo zitakuwa zinalipiwa watu kupita. Kuwekeza kwenye sekta ya umeme, etc
Hili swala linataka umakini sana.
Analipa kodi kwa kuwa amelazimika kulipa kodi au kwa mapenzi yake?Bongo zozo anaelipa kodi na Sokwe linallokwepa kodi na kushinda kwenye vijiwe vya kahawa nani mzalendo?
Kwahiyo Wazalendo ni wale waliotajwa na CAG?.Analipa kodi kwa kuwa amelazimika kulipa kodi au kwa mapenzi yake?
wapo wapi hao viongozi?Acha kutukana viongozi
Kwa mujibu wao ni Blind patriotism Ukondoo mtupu.Kwahiyo uzalendo ni Nini?
Hivi ina maana kenya, ghana, bostwana, uk na spain hawaoni hayo madhara ya uraia pacha? Mpaka wakaruhusu?Waulize Wana siasa watakuambia madhara ya uraia pacha Ila ni Siri yao
Hawana sababu za maana ndio maana huwa wanakataa bila kutoa sababuHivi ina maana kenya, ghana, bostwana, uk na spain hawaoni hayo madhara ya uraia pacha? Mpaka wakaruhusu?