Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.

The best comment hii hapa.
Screenshot_20250220-004814.png
 
Una mawazo mgando ya kimaskini.

Hakuna shetani anayetoa utajiri.

Hakuna kafara itakayo kupatia utajiri.

Utajiri wa utoaji kafara husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi waliofikia mwisho wa kufikiri.

You need an urgent brain reset.

You need to restore your brain to factory settings.
 
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Ngoja watoto wako wakue wakutoe kafara mkuu 🤣🤣🤣
 
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Utajiri wa hivyo haurithiwi Kwa ukoo,ukifa wewe na utajiri unaondoka!!?
 
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Kamwe Misukule haileti utajiri,
Akili nzuri, bidii ya kazi na nidhamu ya Hali ya juu zaidi katika Matumizi ya Fedha ndio viini vikuu vya kuleta Utajiri hapa duniani.

Endapo kama Misukule inaleta Utajiri basi nchi za Marekani, Brunei, Saudi Arabia kungekuwa na Majumba mengi zaidi ya kuwatunza Misukule.
But all in all, Elon Musk kwa Sasa ndiye angekuwa mtu wa kwanza hapa duniani kwa kumiliki Misukule wengi zaidi kuliko mtu mwingine yeyote yule. But the reality is negative!
 
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Kwanini usijitoe kafara mwenyewe ili ukoo waishi kitajiri?
 
Back
Top Bottom