Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

Kila kitu ili kikupe matokeo lazima imani iwepo.

Sifikirii Kama mafanikio yanabidi yakufikishe huko Mkuu.

Work smart
Keep God first

Kuna kukosa na kupata na kukosa na kupata .

Then maisha hatuishi daima so keep a balance .
 
Haya yote yameletwa na FISIEM
 
In addition to your point.

If witchcraft really existed people would have weaponized it long time ago, we would have invisible rockets, enchanted bullets and invisible ballistic missiles.
 
Wewe ni kichaa period
 
Aisee, kwanini usiitishe kikao na wanafamilia uwambie kwamba wewe umejitolea kuwa msukule wa familia?
 
Kwa hiyo huyu ni kafara ya ccm kwa vijana wazee.
 
Siwezi kuingia deep Kwa ufahamu wako Huo.

Ni MTU mwenye degree ndogo za ufahamu ndo atasema kuwa nothing exist in spritul realm.
Kwenye imaginations kila kitu kinaweza ku exist hata mauzauza.

Ila kwenye uhalisia lazima ulete uthibitisho.

Kwa hiyo huo uchawi ni imaginations zako tu.

Just an illusion.

Kwenye uhalisia, Hakuna uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…