Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wivu tu huoMbeya ni Kijiji kikubwa...hakina maajabu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu huoMbeya ni Kijiji kikubwa...hakina maajabu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti ushamba wako wa kutokuzunguka [emoji1787]Utaendelea kuishi kwenye zama za Giza Hadi lini?
Miaka fulani ndio leo? Eti garage Soweto,kuna bonge la gereji ya wachina kubwa kabisa na la kisasa pale Uyole jirani na St.Aggrey..
Vi min market viko vingi sana ni ushamba wako tuu wa kutozunguka.
Hizo 4 star hotels ziko nyingi tuu mojawapo inaitwa Highlands Hotel ,
Mbeya ni kama Dar ina CBD 2 yaani Uhindini/City center na Mwanjelwa sasa sijui wewe hater unataka mjini kuweje..
Acha ushamba Mzee,Mbeya ya Leo sio ya juzi ulipokuwepo wewe.
Nani kakwambia jiji la mbeya Lina zaidi ya 30 yrs?mwanza lenyewe halina umri huoMbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!
Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Vingine ni kweli na vingine umewaonea Mbeya. Baridi si rafiki wa Swimming pools na nightlife. Uingie kwenye swimming pools na lile baridi, au ulitaka yawe heated, kwa umeme huu?Vitu vingi sana, kuna mwaka nilitafuta a colored printer nilikosa karibu stationery zote.
For 2yrs straight kuna mtu namjua anatafuta parts za gari lake Land rover Mby hamna hadi kaagiza mikoani japo hazikufit ila Mby hata za kujaribu tu alikosa. Infact Mbeya hakuna gereji hata moja I mean hata moja ya maana zote za kuunga unga tu kuanzia kwa Lena kule Mbalizi hadi Soweto.
Ukiacha swimming pool ya pale JM na Utengule kuna swimming pool nyingine Mby?
Ukitoa ile gym ya kienyeji pale Soweto kuna gym nyingine yenye hadhi Mby?
Viwanja vya michezo je? Bball najua bonanza pale mjini toka 90s hadi pamechoka, kipo kingine? Vya mpira wa miguu je achana na Sokoine ambayo nayo imechoka mbaya. Kuna golf course hata moja Mbeya?
Vp movie theatre?
Supermarket Mby ni kale ka store pale sheli Infinity zamani oilcom 😀 supermarket sio jambo la msingi ila Mby kuna hata a decent market kweli ambayo mtu unaweza pata vitu mbalimbali bila bugudha kweli?
Mbeya mjini ni wapi kule Uhindini au Mwanjelwa maana kote kupo kupo tu.
Kuna hata 4-star hotel in Mby?
Mambo mengine yanaweza kuonekana as petty ila ndo huduma zinazofanya jiji kuwa jiji.
Mkuu mambo ni mengi sana nayoweza kuorodhesha, naijua Mby nje ndani. Pamoja na yote naipenda Mbeya nikipata nauli nitakuja 🤣
Unazungumzia mbeya ipi??Sasa ulikua unaishi mwasanga ulitegemea usiku kuchangamke . Mbeya kwanzia uyole mpaka mbalizi hakuna kulala
Arial photo hiyo ndiyo Mtwara? Na ya Mbeya ikoje? Na hii ni ya mwaka gani!?
Mbeya inazidiwa Hadi na iringa kimaendeleo ndo mje mlinganishe na Dodoma kweli??
Yaan mbeya ni Jiji la ovyo Sana kwanza miundombinu yake ya ajabu Sana akija kiongozi yoyote wa serikali jam itakayotengenezwa barabarani sio ya kawaida
Mbeya mzunguko wa pesa hakuna unakuta mtu anakaa mjini ila anamashamba huko milimani ko chakula analima huko milimani , anavuna analeta ndani hakuna kununua chakula na uyo anakaa mjini
Mbeya ni Jiji la ovyo saana sijawai kuona.
Miji hujengwa papaa,hulka ya wagogo na upore wao sio kikwazo,
Dubai ni jangwa,lakini ni bonge la mji,
Hakuna tofauti kati ya tanga na Dar,mtwara,zote Zina fukwe kwenye bahari ya Hindi,lakini mbona Dar imeendelea zaidi?
Hata Arusha hakuna bahari lakini pameendelea,
Kama wenyeji wa sehemu ni kikwzao Cha maendeleo,mbona Dar ni ya wazaramo lakini imeendelea?usikurupuke,miji inaendelea kwa vigezo vingi
Athari za ukomunisti ndio zimetufisha hapoBy the way,tusitake miji mizuri huku wa kuitengeneza hayo majiji na sisi.Vipato vya Watanzania vinaendana na majiji yetu.
Ukienda tu hapo Nairobi ukilinganisha na Dar,unaweza ukasema Dar ni kijiji.
Mji kama Nakuru ambapo ni wa 4 kwa pale Kenya,inaizidi hata Mwanza ambapo ni Jiji letu la Pili.umaskini mbaya sana.
Kwamba Mtwara hakuna arial photo nzuri? Wewe umekua tuu Selective kuchagua eneo linalokufaa kisha ukaweka hapa!
Hii ni ya zamani nadhani 2009
Dodoma inajengwa na serikali... Ila mbeya inajengwa na wananchi... Tukipata booster ya serikali utakuja kutubu hapambeya kwa dodoma itasubiri sana.
Madume eh tunaupiga mwingimbeya madume na majike mengi ni makorofi...majuaji
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Eh Bora mnaoniunga mkono mmeongezekaNi
Ningekua nakujua ningekununulia hata sida[emoji119]
Umefika mara ya mwisho lini Mbeya... Njoo new Mbeya pazuri... Ujionee.. uzuri wake kama ulifika mwaka jana kurudi nyuma usicoment hapaNaipenda Mbeya ila Mbeya is no better.
Hizo pubs zenyewe Mbeya pazuri, City pub na Mwailubi ni utopolo mtupu. Majina makubwa ukifika utachoka huwezi kukaa hata dakika 5.
Mbeya hakuna viwanja classic. Hizo clubs ni more of vilabu vya pombe than clubs. Kifupi Mbeya hakuna nightlife.
Zamani ilikuwepo Pamodzi sijui iliishia wapi?
Mbeya service ndogo tu hakuna unaweza tafuta kitu cha kawaida kabisa mji mzima na ukakosa utasikia hadi tuagize Dar.
Naipenda Mbeya ila ule mji hauendelei kabisa.
Ukienda migahawa ya kawaida ya vichochoroni lazima upate huduma za vichochoroni... Nchi nzima iko hivyodo! hili umenikumbusha niliingia mgahawa mmoja wa kawaida kunywa chai sukari ikawa imeisha muhudumu akang'ata kwa meno kufungua pakiti ya sukari wakati nashaa mwingine akawa anatumia tena meno kufungua pakiti ya majani ya chai