BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

Huyo Gavana wa BOT naona anafanya Siasa kwenye masuala ambayo yapo serious, naona kama anaichezesha nchi kamali ya kifo, hususani kuhusiana na masuala haya ya Uchumi wa Fedha.
Thamani ya Sarafu ya Shilingi ya Tanzania imeporomoka Sana kupita kiasi. Mfumuko wa bei ni mkubwa sana, hali Kama hii iliwahi kutokea kule nchini Zimbabwe wakati ule wa Utawala wa Rais Robert Mugabe. Kufa kwa thamani ya Dola ya Zimbabwe ilianza kama hivi hivi, na hatimaye nchi hiyo ilikumbwa na janga kubwa sana la Mfumuko wa Bei za bidhaa pamoja na kufa kabisa kwa thamani ya Fedha za nchi hiyo. Mtu akitaka kununua Kilo moja tu ya mchele kutoka dukani ilimlazimu kubeba Fedha nyingi sana kiasi Cha Noti za Fedha zinazoweza kujaa kwenye Container moja lenye ukubwa wa futi arobaini!

Hyperinflation ya Zimbabwe ilianza hivi hivi.
Bongo kuna watu wanauza kitu chenu kimya kimya , halafu mnaambiwa ni Sera tukufu za Baba/Mama kumbe Serengeti au Kilimanjaro au kisiwa kimoja hakipo na hamtaelezwa kama mambo ya loliondo
 
thamani ya Dollar.png
 
Back
Top Bottom