Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

Nawashauri wapitie Dar,Tanga, Kilimanjaro,Arusha,Manyara,Dodoma,Singida,Tabora,Mbeya,Songwe,Rukwa,Katavi,Kigoma,Kagera,Geita,Shinyanga,Mwanza,Simiyu na mwisho Mara pale bandari ya Musoma linashushwa na kuelekea kituo chake cha kazi.

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Bado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.

Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
nairobi kuna flyover isingeweza kupita mkuu, ni sawa na dar isingeweza kupita ubungo
 
Bado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.

Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
Umefika Nairobi karibuni? Umeona hizo flyover?
Kwanini isilete headlines wakati watu wanaona Bot live kwa mara ya kwanza na kwa wengi ya mwisho
 
Bado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.

Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
Huu mlolongo ulikuwa ni muhimu sana. Tazama pale mbele ya benzi kuna picha.
 
Unalia nini? acha kutetea ujinga.

Hiyo kitu ni ushamba wa hali ya juu.
Mbona hatushangai au kujitokeza kudai na kupigania mambo ya msingi?
Kwa hiyo watu wasishangilie vitu eti kisa wakishangilia wewe utaumia? Acha watu wa enjoy maisha yao, wewe baki na huzuni yako. Sio kila mtu awe serious kwenye kila kitu kama wewe
Na kuwaita watu wanao enjoy wanachofanya sio hata ujanja. Na haikufanyi uwe smart kuliko Watanzania wengine
 
Chama kimeandaa mapokezi kabambe mara boti litapofika Dodoma
Mama ataongoza mapokezi hayo yatayofuatiwa na mkesha utakaombatana na kula na kunywa for free
Wananchi mnaombwa msikose
 
Nawashauri wapitie Dar,Tanga, Kilimanjaro,Arusha,Manyara,Dodoma,Singida,Tabora,Mbeya,Songwe,Rukwa,Katavi,Kigoma,Kagera,Geita,Shinyanga,Mwanza,Simiyu na mwisho Mara pale bandari ya Musoma linashushwa na kuelekea kituo chake cha kazi.

NO REFORMS NO ELECTION.
karibu na hale kuna Daraja juu panapita treni. Pale pangezuia hilo boti kupitishwa. . Ni sawa ba Barabara ya dar kwenda chalinze
 
Shangaa na wewe mkuu! Watu wamekazana ooooh ingeshushwa Mombasa ikapelekwa Kisumu! Utafikri huko hakuna vikwazo! Mimi naona ni sawa tu hata hiyo amshaamsha ya vijana wa bodaboda ni sawa tu maana hili ni tukio la mara moja!
Mombasa bandarini kodi, barabarani kodi, kisumu kodi. Mafuta ya kulitembeza kisumu tu mwanza
 
Hivi sisi Watanzania ni jamii ya kijinga au? Tunapenda sana kushangaa vitu, sasa hapa kuna nini cha kushangaa kama si ujinga tu?
sio jambo kubwa sana kivile lakini naona limepewa msukumo na media ndio maana na watu wamevutiwa, siunajua biashara ni matangazo.
 
Boti Ya Mama Inafanya Utalii Wa Ndani Tanzania
Mtwara , Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Dodoma (Hapa Itapelekwa Bungeni Ikapumzike)
Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza
Itapita Mikoa 10,
 
Kusafirisha hilo dude kutoka mtwara mpaka mwanza utashangaa cost yake mil.300,000,000
 
Back
Top Bottom