Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

Hii boti labda ipo kimkakati ya kimaonyesho , lakini hakuna faida ya kitembeza kwa mwezi mzima kwenda Mwanza. Kwanza inaleta hasara hizi
1. Uharibifu wa barabara kwa aijli ya uzito
2. Gharama ya kuasafirisha kigezo cha muda namafuta
3. Inaleta foleni njiani kwa ajili ya eneo inalochukua na spidi inayotembea
Hii boti ilitakiwa iwe itenganishwe vipande na kwenda kuungwa Mwanza, aliyeamua hivi kuna wasiwasi wake kitaakuma
End of Thinking Capacity?

Ndugu Kafiri/Kobazi
1. Hiyo lowbed iliyobeba Boat ina mgawanyo wa gurudumu nyingi sana so uzito wa boat hauwezi kuleta madhara makubwa kwenye barabara
2. Hiyo Boat kwenda ku-assemble mwanza ni gharama kubwa zaidi kwani unahitaji kusafirisha team ya waliotengeneza Boat kutoka ulaya na pia ungehitaji gari zaidi ya 5 kusafirisha hivo vipande na ukizingatia hiyo boat ni ambulance ina mpaka ICU room so ku-assemble sio suala dogo
3. Route ya mtwara-songea ndiyo njia Sahihi kwani hakuna flyover wala vivuko vya treni wala madaraja dhaifu

Mimi yangu ni hayo tu ndugu kobazi/Kafiri
 
🤣🤣🤣🤣
 
Sio kushangaa, sema Watanzania hatuna kazi za msingi za kufanya.

Tungekuwa na maisha mazuri au tunajitambua, ni suala la kwenda boti zilipo kama kusafiri kutoka huko vijijini mlipo muende Dar, Mtwara, Mwanza na sehemu zingine ikiwezekana nje ya nchi.
Sasa mkuu kushangaa na kazi ya kufanya vinahusiana vipi??

Kwahiyo akisafiri toka Moro kuja dar kuona boti ndio anakua kapata kazi ya kufanya??
Binafsi sioni tatizo juu ya hili na ukizingatia hilo boti linapita kwa siku moja au masaa kadhaa tu.
Unaandika as if hao watu ni mwaka mzima kazi yao ni kushangaa boti.

Watu wenye mawazo kama yako huwa tunawaita LIMBUKENI..
 
Mwalimu mbona makasiriko kila uzi!!!??
We akili yako unafikiri ualimu ni tusi? Pamoja na kwamba mm si mwl. Ningefurahi sn kuwa mwl. Maana ni fungu jema. Ualimu ni kutekeleza takwa la mwenyenzi Mungu kuwapatia binadamu elimu. Nikiona watoto wadogo wa shule ya msingi asubuhi natamani ningekuwa nawafundisha. Kwako ww ni fimbo ya kuwatukania wenzio? We umepotoka
 
Kabisa mkuu. Mzunguko woote huo mkuu hivi Mtwara to Dar ni mbali kuliko Mtwara to RUVUMA, NJOMBE, IRINGA, MOROGORO...? Nchi inaongozwa na majinga hiii
Hivi una akili wewe?!
Huoni Dar kuna Flyovers na vivuko vya treni?😂au hujaona kimo cha hiyo Boat + Lowbed(truck)
 
Mombasa bandarini kodi, barabarani kodi, kisumu kodi. Mafuta ya kulitembeza kisumu tu mwanza
Si ndio hapo sasa! Vinajiona vyenyewe vina akili kuliko serikali! Ila upinzani tunaupenda lakini kuna wakati unatujaza ujinga kuona kila kitu kinachifanywa na serikali ni kibaya.
 
Kuna fly over ambayo ule mzigo haupiti..? Pale njia ya chini magufuli mzigo ule haupiti?? Unaijua dar kweli..? 💩💩💩
Kijazi interchange unaweza kupita lakini hizi za huku Buguruni sina uhakika. Pia Dar nyaya zingesumbua sana, ziko nyingi mno zinazokatisha barabara!
 
Binafsi imenipa fursa ya kuuza maji na vibendera vya picha ya Boti..naviaanda nikimaliza naende kutega Dom na Mwanza.
 
Bado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.

Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
Siasa mkuu, si umeona mtambara wa mama mama mama umewekwa pembeni mwa boti?!
 
Bado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.

Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
Labda ni boti ya mama
 
Back
Top Bottom