Neverregular
Member
- Apr 11, 2024
- 46
- 291
End of Thinking Capacity?Hii boti labda ipo kimkakati ya kimaonyesho , lakini hakuna faida ya kitembeza kwa mwezi mzima kwenda Mwanza. Kwanza inaleta hasara hizi
1. Uharibifu wa barabara kwa aijli ya uzito
2. Gharama ya kuasafirisha kigezo cha muda namafuta
3. Inaleta foleni njiani kwa ajili ya eneo inalochukua na spidi inayotembea
Hii boti ilitakiwa iwe itenganishwe vipande na kwenda kuungwa Mwanza, aliyeamua hivi kuna wasiwasi wake kitaakuma
🤣🤣🤣🤣End of Thinking Capacity?
Ndugu Kafiri/Kobazi
1. Hiyo lowbed iliyobeba Boat ina mgawanyo wa gurudumu nyingi sana so uzito wa boat hauwezi kuleta madhara makubwa kwenye barabara
2. Hiyo Boat kwenda ku-assemble mwanza ni gharama kubwa zaidi kwani unahitaji kusafirisha team ya waliotengeneza Boat kutoka ulaya na pia ungehitaji gari zaidi ya 5 kusafirisha hivo vipande na ukizingatia hiyo boat ni ambulance ina mpaka ICU room so ku-assemble sio suala dogo
3. Route ya mtwara-songea ndiyo njia Sahihi kwani hakuna flyover wala vivuko vya treni wala madaraja dhaifu
Mimi yangu ni hayo tu ndugu kobazi/Kafiri
Sasa mkuu kushangaa na kazi ya kufanya vinahusiana vipi??Sio kushangaa, sema Watanzania hatuna kazi za msingi za kufanya.
Tungekuwa na maisha mazuri au tunajitambua, ni suala la kwenda boti zilipo kama kusafiri kutoka huko vijijini mlipo muende Dar, Mtwara, Mwanza na sehemu zingine ikiwezekana nje ya nchi.
Bd unaendelea kunifuatilia?Mwalimu mbona makasiriko kila uzi!!!??
Hapo nimekuelewa mkuu. Ila why wasianzie mtwara alafu Dar then pwani morogoro kuendeleaDaraja la mtera ni dogo. Alafu ukimaliza kuvuka tu daraja kuna kona . Lisingeweza kupita pale.
We akili yako unafikiri ualimu ni tusi? Pamoja na kwamba mm si mwl. Ningefurahi sn kuwa mwl. Maana ni fungu jema. Ualimu ni kutekeleza takwa la mwenyenzi Mungu kuwapatia binadamu elimu. Nikiona watoto wadogo wa shule ya msingi asubuhi natamani ningekuwa nawafundisha. Kwako ww ni fimbo ya kuwatukania wenzio? We umepotokaMwalimu mbona makasiriko kila uzi!!!??
Kabisa mkuu. Mzunguko woote huo mkuu hivi Mtwara to Dar ni mbali kuliko Mtwara to RUVUMA, NJOMBE, IRINGA, MOROGORO...? Nchi inaongozwa na majinga hiiiWanapoteza muda na mafuta tu. Hiyo ni kampeni ya huyu Rais aliyefeli form 4
Hivi una akili wewe?!Kabisa mkuu. Mzunguko woote huo mkuu hivi Mtwara to Dar ni mbali kuliko Mtwara to RUVUMA, NJOMBE, IRINGA, MOROGORO...? Nchi inaongozwa na majinga hiii
Kuna fly over ambayo ule mzigo haupiti..? Pale njia ya chini magufuli mzigo ule haupiti?? Unaijua dar kweli..?Hivi una akili wewe?!
Huoni Dar kuna Flyovers na vivuko vya treni?😂au hujaona kimo cha hiyo Boat + Lowbed(truck)
limeshushwa mtwara kutokea wapi? Na kwanini lisishushwe bandari ya Dar esalaam?Limeshushwa Mtwara ndio safari ikaanzia hapo.
Si ndio hapo sasa! Vinajiona vyenyewe vina akili kuliko serikali! Ila upinzani tunaupenda lakini kuna wakati unatujaza ujinga kuona kila kitu kinachifanywa na serikali ni kibaya.Mombasa bandarini kodi, barabarani kodi, kisumu kodi. Mafuta ya kulitembeza kisumu tu mwanza
Kijazi interchange unaweza kupita lakini hizi za huku Buguruni sina uhakika. Pia Dar nyaya zingesumbua sana, ziko nyingi mno zinazokatisha barabara!Kuna fly over ambayo ule mzigo haupiti..? Pale njia ya chini magufuli mzigo ule haupiti?? Unaijua dar kweli..? 💩💩💩
Hata mimi nilikuwepo..pia nitaisuburi Dodoma😀😀😀😀Unakuta mwanaume mzima na mandevu yake anashangaa boti
Sio kweli kwa maana hiyo miji mingine ndio nguzi zipo chini kwa chiniKijazi interchange unaweza kupita lakini hizi za huku Buguruni sina uhakika. Pia Dar nyaya zingesumbua sana, ziko nyingi mno zinazokatisha barabara!
Siasa mkuu, si umeona mtambara wa mama mama mama umewekwa pembeni mwa boti?!Bado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.
Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
Labda ni boti ya mamaBado sijaelewa kwanini hili suala linamake headlines na purukushani za bodaboda na wananchi.
Hiyo ni transportation ya kawaida sana tena kwangu bado ni wrong movie.
Njia sahihi ni Mombasa - Kisumu( barabara)- Mwanza (via ziwa Victoria)
Huu mlolongo wote usingekuwepo.
Bado ipo siku watatembeza lile roboti la mama from Dodoma to Kigoma😂Wewe hujiulizi boti linazungushwa barabarani mikoa takribani 8. Hiyo ni kampeni tosha.