Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.

#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
 

Attachments

  • IMG-20240922-WA1911.jpg
    28.4 KB · Views: 3
  • IMG-20240922-WA0387.jpg
    265.3 KB · Views: 3
  • IMG-20240922-WA0389.jpg
    258.8 KB · Views: 3
  • IMG-20240922-WA0380.jpg
    127.3 KB · Views: 3
  • IMG-20240922-WA0390.jpg
    167.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240922-WA0391.jpg
    128.8 KB · Views: 3
Vijana wa CCM Dar, eneo lao la kukutana ni lilelile.
Kwanini wengine kwao iwe ruksa kukutana huku wengine iwe ni marufuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…