Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Aliyeandaa hili tukio naye anatuangusha sana. Kwamba tumekosa mbinu kabisa. Tungewaacha waandamane na polisi wahakikishe usalama tu. Hapa tunakuza mambo bila umuhimu wowote, watanzania si watu wa fujo hata kidogo.
 
Lugha ya mwili (body language) inaonesha hawapo ukumbini wapo sehemu nyingine kabisa.

Hao walio simama wasichana wanaulizana vipi bahasha tayari ushapewa au bado ?
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Hawa ni wahuni wameokotwa wanatumiwa tu, hovyo kabisa...

View: https://youtube.com/watch?v=YcKLC0hcCv8&si=msogod5C2kJf2CWC
 
Kibali cha kusanyiko hilo wamekitoa wapi???
Serikali za mtaa , huoni huo ni ukumbi. Unadhani kuna mtu anaweza tumia ukumbi bila kibali? Na imeonekana dhamira yao si ovu ndio maana wameachiwa. Chadema wanaonyesha hovyo.
 
Vijana wenyewe hawana nuru. Wamekula buku kadhaa za vocha, wanakenua kama mataahira... Hopeless generation.
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
 
Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 3
Kuishi Tz ni laana
Kila siku nasema hapa, waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Wala hakuna haja ya kupoteza muda na nguvu zako kuwapigania wajinga.

Watanzania ni kuwaacha wateseke, wahujumiwe vya kutosha mpaka pale akili zitakapo funguka.
 
Shame on you math teacher 😒 Unaijua maelfu wewe!??
 
Mmewakea na singeli amapiano hapo naona

Ova
 
Upumbavu mtupu! Kuna mambo mengine yanakera sana! Kwa hiyo hao wametoa kibali wapi???? Kuandamana sio hisan ya mtu ni haki ya kikatiba waache uchawa na njaa! Hao wote ni njaa inawasumbua
Hii double standards italeta shida tuna kiełek wa
 
Back
Top Bottom