Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Siungi mkono maandamano lkn ni vema CCM wasfanye mchezo wa kuingza vijana wao road at tha same date walopanga hao CHADEMA.Maana cdhan hao vjana kama wanautimamu wa kihisia kuhandle kujzbizana na wapnzan wao incase wakiw face ti fqce.Kama wana zile akili za wapanzan ni MAADUI asee yanaweza tokea magumu hata polisi wakasndwa kuwaamua,af tukajkuta game linahamia mitaan kimya kmya dizain ya mambo ya mauaji ya kimbari huki kwa jiran zetu.

Nnashauri:
Kama ni kutulza hilo watumie wenye taaluma zao yaan POLISI. Hao vjana wengne wa lumumba kakwel waachwe wakaeneze sera ya chama kwa ajili ya uchaguz ujao,hawana hizo akili zngne za kiusalama wa NCHI wao wanajua usalama wa chama tuu.
 
Aliyeandaa hili tukio naye anatuangusha sana. Kwamba tumekosa mbinu kabisa. Tungewaacha waandamane na polisi wahakikishe usalama tu. Hapa tunakuza mambo bila umuhimu wowote, watanzania si watu wa fujo hata kidogo.
Sio chaggadomo aisee
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30

Huwa mnaongea kama kuna watu wanamchukia Rais

Mnaongea kama Rais anachukiwa Sana

Haya makongamano yenu yanaleta maswali mengi Sana, there must be something going on

Hali ni shwari Sana tofaut kabisa wanaccm mnavyotaka kuaminisha watu
 
Hawa wanakutana kwa nia njema, nyie mmeamua kutafuta ugomvi
Kulaani mauaji na utekaji ni kutafuta ugomvi? Wametoa hadi taarifa na kuwapatieni routes watakazopita, huko ni kutafuta ugomvi?
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30

Vurugu zitaletwa na wauaji na watekaji. Bila haya kuisha ndani ya Polisi na usalama ni kazi bure
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Hivi Hawa na wale nani ana akili,hivi mnajua bara na visiwani tumegonganisha marais,je mnajua deni limefikia 133.9trillion,na bila gazeti Moko tusingejua kabisa,haya miradi mikubwa imeisha mbona bado hazina hakuna pesa,sasa nyie GEN Z mnajua kuwa %ya mgao kwenda kizmkazi imeongeza bila Bunge kujadili,na mnajua kuwa watalii wanafika Zanzibar bara wanatembea na kurudi jioni Moja tuu kwa ndege za bwana yule wakati huku bara a commotion zinalala na mapanya pekee,je nyinyi mnajua biashara zimekufa nyingi mno wakati huu kuliko wakati mwingine wowte,sasa bila kupaza sauti.watoto.wa.wakukima.nani atawasaidia.Tunaomba uwanja huru tujadiri mambo ya nchi bila zengwe kama alivyofanya uhuru na vijana wake,kila kitu uoga hata kutembea barabarani ni kutoa mawazo yao hamtaki itakuwaje kwenye dira 2025-2050
 
Maelfu ya vijana..
images (93).jpeg
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Asiyeunga mkono kilio cha wananchi dhidi ya utekaji na mauaji ya raia ni mshiriki wa mauaji hayo
 
Kanda Maalum Ya Police Dar Imekuwaje Hao Wakusanyike
 
Hii nchi ni yetu sote na tusipangiwe Cha kufanya, kama tunaenda kwenye maandamano tuachwe na nyie wa vikao mfanye mnachotaka sio mnataka tufanane kila kitu. Tutaelewana tuu, Mungu wetu Yu hai.
 
Me ninacho jua kesho kutakuwa hakuna maandamano yeyote lakina kama kijana wa taifa naamini ipo siku watu watajikuta wapo mtaani wakiandaman bila info yeyote ile yaani hicho kitu me huwa naamini siku zote hakuta kuwa na tarifa kama ivi wala kupeana habari juu ya maandamano lkn watu watatoka na kwenda kupambana kwa mioyo yao na wala sio kwa msukumo wa chama chechote
Nyie endeleeni kufanya hii nchi ni kwaajili ya wafuasi wa chama tawala pekeyake ila anguko lenu linakuja tena kwa kishindo
Hatujui siku wala saa ila kunasiku haki itamfata mwenye haki.
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
hawa ndio young visionary and patriotic political leaders wa kisasa 💪💪👊👊
 
Back
Top Bottom