Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

🛑BREAKING NEWS: MAELFU YA VIJANA WAKUTANA MUDA HUU KUTOA MSIMAMO WA KWENDA NA SAMIA NA KUONYA WENYE KULETA VURUGU🇹🇿

Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa! Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha. Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.

#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
stupid as stupid is
 
ajabu yake hao hao kuna siku watatekwa, na watahitaji chadema wawapazie sauti. mimi sio mwanachadema, ila hoja ya chadema kuhusu utekaji ina mashiko yote.
 
🛑BREAKING NEWS: MAELFU YA VIJANA WAKUTANA MUDA HUU KUTOA MSIMAMO WA KWENDA NA SAMIA NA KUONYA WENYE KULETA VURUGU🇹🇿

Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa! Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha. Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.

#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Watu, vijana wameacha kufikiria kwa kutumia ubongo now wanafikiria kwa kutumia makalio.
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
View attachment 3103241
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Hiki ni kile kikundi cha Rapid Force cha UVCCM.
 
Ajira portal imewashinda,sasa mnahamia kwenye siasa.

Kwenye siasa ni pagumu kuliko mnavyodhani!

Mbati aliyepata ajali na JPM wangefufuka angewasimulia.
 
Attachments

  • IMG-20240921-WA0089.jpg
    IMG-20240921-WA0089.jpg
    54.1 KB · Views: 1
Hoa Mbwa muwaambie wakae nyumbani kupikia watoto...Huu ni MTITI wa kupigania HAKI msi lete umama mama kwenye mambo MAZITO YANAYO VUJA DAMU!!!
Utafikiri you mean what you are saying keyboard warrior?Tokeza kesho utajua hujui.
 
Back
Top Bottom