Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Mimi nimesoma mpaka masters serikali aijaniajiri.

Mimi nimesoma medicine, sihitaji kufanya profesional exam. Tayari nimeshafanya field work najua wajibu.

The nonsense ya hawa watu someone has to fix it.

Ndio kama CDM huyu muuwaji atoke, kama hataki tuandamane kumtoa.

Yaani akili za watanzania maisha ni rahisi, hakuna rules and social regulations kwao.

Anahitajika mtu wa kuwaweka sawa kimtazamo watanzania, Hakuna nchi iliyoendelea yenye watu wengi wenye fikra za maisha ni rahisi hivi.
Naona leo upo kwenye zile 'elements' uzijuazo mwenyewe, mkuu 'Mayor'. Kama kawaida!
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Wanawashwa hao
 
Back
Top Bottom