Naona leo upo kwenye zile 'elements' uzijuazo mwenyewe, mkuu 'Mayor'. Kama kawaida!Mimi nimesoma mpaka masters serikali aijaniajiri.
Mimi nimesoma medicine, sihitaji kufanya profesional exam. Tayari nimeshafanya field work najua wajibu.
The nonsense ya hawa watu someone has to fix it.
Ndio kama CDM huyu muuwaji atoke, kama hataki tuandamane kumtoa.
Yaani akili za watanzania maisha ni rahisi, hakuna rules and social regulations kwao.
Anahitajika mtu wa kuwaweka sawa kimtazamo watanzania, Hakuna nchi iliyoendelea yenye watu wengi wenye fikra za maisha ni rahisi hivi.