KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana.

Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana.

Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns bila mafanikio, mwezi October mwanzoni Afisa mmoja wa BRELA akaniomba ili aweze kunikamilishia haraka nitoe 200,000. kwa kuwa kazi yangu ilikuwa imekaa muda mrefu nikawa sina msaada nikampatia.

Akaweza tu kunitengenezea Control Number nikalipa, baada ya hapo wananiambia kazi iko kwenye final stage, ili iweze kuwa approved inabidi nitoe 200,000 nyingine, just for a stupid and irresponsible person to press an approved button.

Nchi hii sijui tunaipeleka wapi, yaani mfumo wa Brela Online Registration System una urasimu mkubwa kuliko hata ule wa manual.

Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Maafisa wengine wote wanaohusika waingilie kati, wajaribu tu kuingia kwenye Online Portal ya Brela kujionea kazi ambazo zimewekwa pending bila sababu ya msingi.

Kwa kuwa wao wamekaa wanalipwa kwa kodi zetu hawajali kama wanatukwamisha katika shughuli za uzalishaji Mali au la.
Sku izi mambo yote hadhalan wataje waliokula maokoto yako weka na ushaid hapa... Hiyo ndo daw
 
Miezi 3 sasa NHIF hawajanipa kadi[emoji23][emoji23]…sasa sijui na utaratibu ni kama Brela?
 
ilifumuliwa, sasa imejifuma, wanakuambia wait for final decision...
 
Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana.

Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana.

Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns bila mafanikio, mwezi October mwanzoni Afisa mmoja wa BRELA akaniomba ili aweze kunikamilishia haraka nitoe 200,000. kwa kuwa kazi yangu ilikuwa imekaa muda mrefu nikawa sina msaada nikampatia.

Akaweza tu kunitengenezea Control Number nikalipa, baada ya hapo wananiambia kazi iko kwenye final stage, ili iweze kuwa approved inabidi nitoe 200,000 nyingine, just for a stupid and irresponsible person to press an approved button.

Nchi hii sijui tunaipeleka wapi, yaani mfumo wa Brela Online Registration System una urasimu mkubwa kuliko hata ule wa manual.

Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Maafisa wengine wote wanaohusika waingilie kati, wajaribu tu kuingia kwenye Online Portal ya Brela kujionea kazi ambazo zimewekwa pending bila sababu ya msingi.

Kwa kuwa wao wamekaa wanalipwa kwa kodi zetu hawajali kama wanatukwamisha katika shughuli za uzalishaji Mali au la.
nikiri kwamba hili jambo hata mimi liliwahi kunikuta, hadi nikasevu namba ya simu ya mhusika hadi leo nawasiliana naye. ni aibu kubwa sana. kuna siku tutawalipua hamtaamini. siku yao inakuja.
 
Siku hizi kila kitu hadhalani wataje uliwapa maokoto tuwajue... Weka ushaidi wau

Sku izi mambo yote hadhalan wataje waliokula maokoto yako weka na ushaid hapa... Hiyo ndo daw
leo anasisitiza niongeze 200,000 ili atoe kazi yangu ambayo kwenye system inaonyesha iko final decision, nikamwambia toa ndio nikupe hiyo pesa akasema wacha ifuate utaratibu wa kawaida, nikamwambia wacha ifuate, kama anaona laki mbili ni hela inapatikana kirahisi aende kujiuza aipate.
 
nikiri kwamba hili jambo hata mimi liliwahi kunikuta, hadi nikasevu namba ya simu ya mhusika hadi leo nawasiliana naye. ni aibu kubwa sana. kuna siku tutawalipua hamtaamini. siku yao inakuja.
naomba utuwekee hiyo namba hapa, mimi nawasiliana na CONSULTANT wangu anipe namba ya aliyetuhudumia niiweke hapa, maana kwenye kupokea pesa wana lipa namba za mitandao yote ambayo haiko kwa majina yao, yaani ni wezi waliokubuhu.
 
kwamba mmekuwa maswahiba tena au 😂
 
leo anasisitiza niongeze 200,000 ili atoe kazi yangu ambayo kwenye system inaonyesha iko final decision, nikamwambia toa ndio nikupe hiyo pesa akasema wacha ifuate utaratibu wa kawaida, nikamwambia wacha ifuate, kama anaona laki mbili ni hela inapatikana kirahisi aende kujiuza aipate.
vijana wanahis pesa lahisi sana mtaani...dawa yao hawa ni kuwafichua mmoja baada ya mwingine...
 
Mambo ya msingi kama haya tuyaache kwanza tunashughulika na makahaba a walimu waliocheza na wanafunzi, kwanza brela wanatekeleza sheria ya kula kwa urefu wa kamba.
 
kama hawana akili, anayeenda kubomoa nyumba za makahaba ana vimada 10, unafiki tu, wote dhambi moja, venue tofauti.
 
naomba utuwekee hiyo namba hapa, mimi nawasiliana na CONSULTANT wangu anipe namba ya aliyetuhudumia niiweke hapa, maana kwenye kupokea pesa wana lipa namba za mitandao yote ambayo haiko kwa majina yao, yaani ni wezi waliokubuhu.
Mkuu kwanini unamfinya muhuni aliyeajiriwa na serikali? Mtaje watu ashughulike nae, si anataka pesa tu?
 
vijana wanahis pesa lahisi sana mtaani...dawa yao hawa ni kuwafichua mmoja baada ya mwingine...
ni sahihi kabisa, ina maana hawa washenzi kwa siku kila mmoja anaweza kusanya hadi milioni 2, akipata wateja 10 wa 200000 kwa siku.

mimi nitataja hapa namba ya lipa namba ya mmoja wao kesho au leo usiku ili miamala inayoingia ifuatiliwe.

hata simu zao zikifuatiliwa, uzuri unaongea na kubargain nao kwenye normal calls, hawana hofu kabisa mbwa hawa, kisha wakibainika wanahamishiwa wizara nyingine na tunategemea wizi uishe. aibu juu ya aibu.
 
Mkuu kwanini unamfinya muhuni aliyeajiriwa na serikali? Mtaje watu ashughulike nae, si anataka pesa tu?
mimi nitaweka hapa namba yake ya simu asubuhi, maana nilikuwa naongea nae kupitia namba ya Consultant wangu.
 
Basi Mungu wake ni mkubwa! Maana kesho hatuna uhakika nayo.
USIKU MWEMA MKUU
 
Kuna mtu nimemfungulia kampuni hii ni wiki ya 4

Hii nchi sijui tunaenda wapi!

Siku nyingine piga simu rekodi halafu tupia humu iwe evidence kabisa
 
ni sahihi kabisa, ina maana hawa washenzi kwa siku kila mmoja anaweza kusanya hadi milioni 2, akipata wateja 10 wa 200000 kwa siku.

mimi nitataja hapa namba ya lipa namba ya mmoja wao kesho au leo usiku ili miamala inayoingia ifuatiliwe.

hata simu zao zikifuatiliwa, uzuri unaongea na kubargain nao kwenye normal calls, hawana hofu kabisa mbwa hawa, kisha wakibainika wanahamishiwa wizara nyingine na tunategemea wizi uishe. aibu juu ya aibu.
Weka hizo namba humu mkuu turuke nao...

Halafu Sasa hivi ukiongea nao rekodi
 
Back
Top Bottom