TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

Alikuwa waziri wa tamisemi awamu ya mwisho ya mkapa huku naibu wake akiwa ndugu Mizengo Pinda.

Innah lilah wainnah ilayh rajiun
Kiuhalisia ni best sana na Mkapa. Yeye ndiye aliyemuwezesha Mkapa kupata makazi pale Mkuzi Lushoto baada ya kununua nyumba/eneo la makazi ya marehemu Chamshama ambapo ni jirani na kwake.
(Mkuu Elli anaweza kunisahihisha au mpwa wangu zumbemkuu)
RIP Mzee Ngwilizi, Ila ulituletea huyo mmachinga hapo! basi tuu
 
Kafanikiwa mengi, kawa wazir, brigedia nk na pia kawa Raisi wa kisiwa kimoja huko bahari ya Hindi!
Pole kwa familia!!
Picha yake tafadhali ungeweka!
The most decorated TPDF soldier katika mapambano dhidi ya RENAMO alipoongoza vikosi vya TPDF kuisaidia Mozambique kukabiliana nao wakisaidiwa na makaburu. Seychelles alikuwa ndiye de facto Rais wa huko. Pentagon hasa the 6th Fleet iliyokuwa Diego Garcia walikuwa wanamjua kwa jina na walikuwa wanamfuatilia 24x7. Ningesema mengi lakini niishie hapo. REST EAST GENERAL Hassan Athman Hassan Ngwilizi. Poleni sana Mama Ngwilizi, Gao na wadogo zako.
"Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina la Bwana lihimidiwe"
 
The most decorated TPDF soldier katika mapambano dhidi ya RENAMO alipoongoza vikosi vya TPDF kuisaidia Mozambique kukabiliana nao wakisaidiwa na makaburu. Seychelles alikuwa ndiye de facto Rais wa huko. Pentagon hasa the 6th Fleet iliyokuwa Diego Garcia walikuwa wanamjua kwa jina na walikuwa wanamfuatilia 24x7. Ningesema mengi lakini niishie hapo. REST EASY GENERAL Hassan Athman Hassan Ngwilizi. Poleni sana Mama Ngwilizi, Gao na wadogo zako.
"Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina la Bwana lihimidiwe"
 
Kiuhalisia ni best sana na Mkapa. Yeye ndiye aliyemuwezesha Mkapa kupata makazi pale Mkuzi Lushoto baada ya kununua nyumba/eneo la makazi ya marehemu Chamshama ambapo ni jirani na kwake.
(Mkuu Elli anaweza kunisahihisha au mpwa wangu zumbemkuu)
RIP Mzee Ngwilizi, Ila ulituletea huyo mmachinga hapo! basi tuu
Kamvuta hadi Chiligati kanunua eneo pale mkuzi kwa 200m
 
Hapo kwenye watoto wengu. Mmoja wapo ni rafiki yangu. Aiseee. Anasema hata hajui alie au afanye nini maana huyu mzee hajawahi kuwa kwenye maisha yake na alikua hataki kumtambua kama mwanae.
Pumzika kwa amani mzee wetu Ngwilizi. Pole sana kwa Gao, Makihio na wapendwa wote
Huyo wa bao la nje ni yupi hapo. Ila hz bao za nje acha kabisa zinakuwaga copyright huwezi hata kukataa. RIP Mzee Ngwilizi.
 
..unashangaa!?

..mbona Lt.Col.Benjamin Msuya aliongoza kikosi kilichoteka Kampala, halafu akalinda jiji hilo mpaka Raisi[ Yussuf Lule] wa serekali ya muda ya Uganda alipoapishwa?

..Ngwilizi alikuwa kamanda wa kikosi cha Jwtz kilichokwenda kulinda visiwa vya Seychelles.

..Pia aliongoza kikosi cha Jwtz kilichokwenda kusaidiana na Majeshi ya Msumbiji, na Zimbabwe, kupambana na waasi wa Renamo.

..Mwanachama mwenzetu Echolima alikuwepo ktk operation ya Seychelles / "Operation Mahe." Nachukua nafasi kumpa pole kwa kuondokewa na kamanda wake.

..Pia pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Huyu mkuu Echolima yuko wapi aje kutupa madini ya huyu Mzee Ngwilizi kwenye medani za ulinzi. Sijamsikia kitambo sana bado yu hai au?
 
Kuna hii kamati inayotumiwa na spika wa kongwa kuendeshea bunge la tano inapenda sana kushikiliwa na wenyeviti wanaotokea jeshini, mkuchika, chiligati, na huyu nae aliongoza kamat kipnd Fulani, sikumbuki vizur kama alikuwa mzee ndesa au selasin aliwah kutana na kunyanzi za huyu mzee wakati Fulani huko bungeni
 
Kwann unasema hivyo?
Mkuu bila kuingia kwa undani uelewe kuwa wakati ule ulikuwa wakati wa "cold war". Makaburu walikuwa wanasaidiwa na Margareth Thatcher (UK) na Ronald Reagan (USA). Africa kulikuwa na "Frontline states " zikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Salim Ahmed Salim akiongoza mapambano hayo U.N. Rais wa Seychelles wakati huo Albert Rene akiwa ni msoshalist aliomba msaada kwa Mwalimu alindwe kutokana na Marekani na Makaburu. Kumbuka Makao Makuu ya Jeshi la Marekani 6th Fleet yalikuwa Diego Garcia ambayo ni kilomita chache toka Seychelles. Katika Mazingira hayo ndiyo General Ngwilizi alipelekwa kukilinda kisiwa hicho dhidi ya US na SA. General Ngwilizi aliifanya kazi hiyo kwa ufanisi na mafanikio makubwa.
Operesheni ya pili ya kutukuka aliyoifanya ni ya Msumbiji. Kumbuka ndiye kamanda as TPDF aliyeongoza vikosi hivyo nchini huko kwa muda mrefu zaidi mpaka vita hivyo vinaisha. Wakati anaenda huko alikuwa ametokea Quetta, School of Infantry and Tactics, Pakistan. Kauli mbiu ya hicho chuo ni."Those who die for their country, never die".
RIP GENERAL HAH NGWILIZI
 
Huyu mkuu Echolima yuko wapi aje kutupa madini ya huyu Mzee Ngwilizi kwenye medani za ulinzi. Sijamsikia kitambo sana bado yu hai au?

..labda ukafukue nyuzi za miaka 3 au 4 iliyopita.

..kuna taarifa za kutosha kuhusu Brigedia Ngwilizi na askari wa Tz waliokwenda Seychelles.

..nadhani hata Lt.Gen.Abdulrahman Shimbo ambaye alikuja kuwa Chief of Staff alikuwepo ktk operation ya Seychelles.
 
Mkuu bila kuingia kwa undani uelewe kuwa wakati ule ulikuwa wakati wa "cold war". Makaburu walikuwa wanasaidiwa na Margareth Thatcher (UK) na Ronald Reagan (USA). Africa kulikuwa na "Frontline states " zikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Salim Ahmed Salim akiongoza mapambano hayo U.N. Rais wa Seychelles wakati huo Albert Rene akiwa ni msoshalist aliomba msaada kwa Mwalimu alindwe kutokana na Marekani na Makaburu. Kumbuka Makao Makuu ya Jeshi la Marekani 6th Fleet yalikuwa Diego Garcia ambayo ni kilomita chache toka Seychelles. Katika Mazingira hayo ndiyo General Ngwilizi alipelekwa kukilinda kisiwa hicho dhidi ya US na SA. General Ngwilizi aliifanya kazi hiyo kwa ufanisi na mafanikio makubwa.
Operesheni ya pili ya kutukuka aliyoifanya ni ya Msumbiji. Kumbuka ndiye kamanda as TPDF aliyeongoza vikosi hivyo nchini huko kwa muda mrefu zaidi mpaka vita hivyo vinaisha. Wakati anaenda huko alikuwa ametokea Quetta, School of Infantry and Tactics, Pakistan. Kauli mbiu ya hicho chuo ni."Those who die for their country, never die".
RIP GENERAL HAH NGWILIZI
Kiongozi shukrani kwa madini. Ila hapo uliposema alienda kulinda kisiwa dhidi ya US na SA umeniacha kidogo.
 
Labda mzee alishikishwa huyo mtoto
Hapo kwenye watoto wengu. Mmoja wapo ni rafiki yangu. Aiseee. Anasema hata hajui alie au afanye nini maana huyu mzee hajawahi kuwa kwenye maisha yake na alikua hataki kumtambua kama mwanae.
 
Back
Top Bottom