mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Hakuwa Rais na kwa namna yoyote asingeweza kuwa Rais wa kisiwa ... Huenda alikuwa Balozi wa heshima (Honorary Consul)Rais wa kisiwa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa Rais na kwa namna yoyote asingeweza kuwa Rais wa kisiwa ... Huenda alikuwa Balozi wa heshima (Honorary Consul)Rais wa kisiwa gani?
Kiuhalisia ni best sana na Mkapa. Yeye ndiye aliyemuwezesha Mkapa kupata makazi pale Mkuzi Lushoto baada ya kununua nyumba/eneo la makazi ya marehemu Chamshama ambapo ni jirani na kwake.Alikuwa waziri wa tamisemi awamu ya mwisho ya mkapa huku naibu wake akiwa ndugu Mizengo Pinda.
Innah lilah wainnah ilayh rajiun
Huwa nakuona well informed kumbe nawewe ni hawa makinda wa juzijuzi tuu?Sentensi yako ya mwisho itatulazimisha tuhoji zaidi huo Urais wake huko Kisiwani kuliko Kuguswa na Kifo chake hiki Mkuu.
The most decorated TPDF soldier katika mapambano dhidi ya RENAMO alipoongoza vikosi vya TPDF kuisaidia Mozambique kukabiliana nao wakisaidiwa na makaburu. Seychelles alikuwa ndiye de facto Rais wa huko. Pentagon hasa the 6th Fleet iliyokuwa Diego Garcia walikuwa wanamjua kwa jina na walikuwa wanamfuatilia 24x7. Ningesema mengi lakini niishie hapo. REST EAST GENERAL Hassan Athman Hassan Ngwilizi. Poleni sana Mama Ngwilizi, Gao na wadogo zako.Kafanikiwa mengi, kawa wazir, brigedia nk na pia kawa Raisi wa kisiwa kimoja huko bahari ya Hindi!
Pole kwa familia!!
Picha yake tafadhali ungeweka!
The most decorated TPDF soldier katika mapambano dhidi ya RENAMO alipoongoza vikosi vya TPDF kuisaidia Mozambique kukabiliana nao wakisaidiwa na makaburu. Seychelles alikuwa ndiye de facto Rais wa huko. Pentagon hasa the 6th Fleet iliyokuwa Diego Garcia walikuwa wanamjua kwa jina na walikuwa wanamfuatilia 24x7. Ningesema mengi lakini niishie hapo. REST EASY GENERAL Hassan Athman Hassan Ngwilizi. Poleni sana Mama Ngwilizi, Gao na wadogo zako.
"Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina la Bwana lihimidiwe"
Kamvuta hadi Chiligati kanunua eneo pale mkuzi kwa 200mKiuhalisia ni best sana na Mkapa. Yeye ndiye aliyemuwezesha Mkapa kupata makazi pale Mkuzi Lushoto baada ya kununua nyumba/eneo la makazi ya marehemu Chamshama ambapo ni jirani na kwake.
(Mkuu Elli anaweza kunisahihisha au mpwa wangu zumbemkuu)
RIP Mzee Ngwilizi, Ila ulituletea huyo mmachinga hapo! basi tuu
Kwann unasema hivyo?Hakuwa Rais na kwa namna yoyote asingeweza kuwa Rais wa kisiwa ... Huenda alikuwa Balozi wa heshima (Honorary Consul)
Kweli kuandika ukaeleweka ni kipajiKwa upande wa bahari Hindi ambavyo ni Mali ufaransa ni Mayote na Re union.ila Mayote ni Mali ya Comoro ila wafaransa bado wameving'ang'ania mkuu
Hapo kwenye watoto wengu. Mmoja wapo ni rafiki yangu. Aiseee. Anasema hata hajui alie au afanye nini maana huyu mzee hajawahi kuwa kwenye maisha yake na alikua hataki kumtambua kama mwanae.
Huyo wa bao la nje ni yupi hapo. Ila hz bao za nje acha kabisa zinakuwaga copyright huwezi hata kukataa. RIP Mzee Ngwilizi.Pumzika kwa amani mzee wetu Ngwilizi. Pole sana kwa Gao, Makihio na wapendwa wote
Mimi mwenyewe nakubali mkuu, nilikuwa namaanisha kwenye bahari ya Hindi visiwa ambavyo vipo chini ya ufaransa ni Mayote na Re- union.Kweli kuandika ukaeleweka ni kipaji
Huyu mkuu Echolima yuko wapi aje kutupa madini ya huyu Mzee Ngwilizi kwenye medani za ulinzi. Sijamsikia kitambo sana bado yu hai au?..unashangaa!?
..mbona Lt.Col.Benjamin Msuya aliongoza kikosi kilichoteka Kampala, halafu akalinda jiji hilo mpaka Raisi[ Yussuf Lule] wa serekali ya muda ya Uganda alipoapishwa?
..Ngwilizi alikuwa kamanda wa kikosi cha Jwtz kilichokwenda kulinda visiwa vya Seychelles.
..Pia aliongoza kikosi cha Jwtz kilichokwenda kusaidiana na Majeshi ya Msumbiji, na Zimbabwe, kupambana na waasi wa Renamo.
..Mwanachama mwenzetu Echolima alikuwepo ktk operation ya Seychelles / "Operation Mahe." Nachukua nafasi kumpa pole kwa kuondokewa na kamanda wake.
..Pia pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Yawezekana aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Mafia. Apumzike kwa amani...Rais wa kisiwa gani?
Mkuu bila kuingia kwa undani uelewe kuwa wakati ule ulikuwa wakati wa "cold war". Makaburu walikuwa wanasaidiwa na Margareth Thatcher (UK) na Ronald Reagan (USA). Africa kulikuwa na "Frontline states " zikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Salim Ahmed Salim akiongoza mapambano hayo U.N. Rais wa Seychelles wakati huo Albert Rene akiwa ni msoshalist aliomba msaada kwa Mwalimu alindwe kutokana na Marekani na Makaburu. Kumbuka Makao Makuu ya Jeshi la Marekani 6th Fleet yalikuwa Diego Garcia ambayo ni kilomita chache toka Seychelles. Katika Mazingira hayo ndiyo General Ngwilizi alipelekwa kukilinda kisiwa hicho dhidi ya US na SA. General Ngwilizi aliifanya kazi hiyo kwa ufanisi na mafanikio makubwa.Kwann unasema hivyo?
Huyu mkuu Echolima yuko wapi aje kutupa madini ya huyu Mzee Ngwilizi kwenye medani za ulinzi. Sijamsikia kitambo sana bado yu hai au?
Wale mabrigadia wa CCM jeshini enzi za usosholisti.Kafanikiwa mengi, kawa wazir, brigedia nk na pia kawa Raisi wa kisiwa kimoja huko bahari ya Hindi!
Pole kwa familia!!
Picha yake tafadhali ungeweka!
Kiongozi shukrani kwa madini. Ila hapo uliposema alienda kulinda kisiwa dhidi ya US na SA umeniacha kidogo.Mkuu bila kuingia kwa undani uelewe kuwa wakati ule ulikuwa wakati wa "cold war". Makaburu walikuwa wanasaidiwa na Margareth Thatcher (UK) na Ronald Reagan (USA). Africa kulikuwa na "Frontline states " zikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Salim Ahmed Salim akiongoza mapambano hayo U.N. Rais wa Seychelles wakati huo Albert Rene akiwa ni msoshalist aliomba msaada kwa Mwalimu alindwe kutokana na Marekani na Makaburu. Kumbuka Makao Makuu ya Jeshi la Marekani 6th Fleet yalikuwa Diego Garcia ambayo ni kilomita chache toka Seychelles. Katika Mazingira hayo ndiyo General Ngwilizi alipelekwa kukilinda kisiwa hicho dhidi ya US na SA. General Ngwilizi aliifanya kazi hiyo kwa ufanisi na mafanikio makubwa.
Operesheni ya pili ya kutukuka aliyoifanya ni ya Msumbiji. Kumbuka ndiye kamanda as TPDF aliyeongoza vikosi hivyo nchini huko kwa muda mrefu zaidi mpaka vita hivyo vinaisha. Wakati anaenda huko alikuwa ametokea Quetta, School of Infantry and Tactics, Pakistan. Kauli mbiu ya hicho chuo ni."Those who die for their country, never die".
RIP GENERAL HAH NGWILIZI
Hapo kwenye watoto wengu. Mmoja wapo ni rafiki yangu. Aiseee. Anasema hata hajui alie au afanye nini maana huyu mzee hajawahi kuwa kwenye maisha yake na alikua hataki kumtambua kama mwanae.