Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Ulisoma wapi mtu akifa anaenda mbinguniAlivyohamishwa kuna siku akatembelea MJ niliona video wanafunzi wakiandamana kumtaka asiondoke & arudi kuwa mkuu wao, Ilibidi Polisi waje kumsaidia aondoke maana wanafunzi walizingira gari lake pande zote.
Hakika amepokelewa mbinguni na baba muumba.
RIP brother mkumbwa naye alishafariki hata mwaka haujapitaDa aisee huyu mwalimu ndo alinifanya leo kuwa baba mzuri wa familia pia na huu mkate ninao upata kwa sasa ni matunda ya usimamizi wake mzri. Mwl mwingine ni MKUMBWA KICHAWELE', SENDORO,SAFARI Kuna mmoja anaitwa TERITERI. RIP brother
Wacha urongo ww unaonekana kibaka kibaka lazima utakuwa ulikuwa unakaa chekereni hukoDah unanikumbusha mbali sana Majengo secondary. Maeneo hayo ndio homu.
R. I. P
Huyo mama D ni lifisiemu lenye kiburi ndio maana watu hawammind wala nini....Mbona mama D mtu poa sana. Anyway one man's meat is another's poison.
Tulia wewee mkaldayo na ujikite kwenye mada iliyopo jamviniWacha urongo ww unaonekana kibaka kibaka lazima utakuwa ulikuwa unakaa chekereni huko
Nakumbuka nilienda ofisini kwake mimi mwenyewe kumuomba nafasi ya kujiunga na kidato cha pili, alinipokea kama wageni wengine bila kujali umri wangu. Aliniuliza maswali kadhaa kwa upole na mwisho akanipa kibali cha kujiunga na shule.
R.I.P BROTHER.View attachment 1643918
Jamal Sambeke na Bob Sambeke ni ndugu? Yule jamaa alikufaga na ajali ya ndege Arusha.Kabisa mkuu. Watu wengi sana wamepitia mikononi mwake wengi saaana Ikiwemo Jamal Sambeke rubani TPDF
Kwenye ufaulu kaa kimya. Zero 100 ni ufaulu mzuri????Apumzile kwa amani. Majengo ni kati ya shule zilozokua na wanafunzi wengi sana Moshi na bado ufaulu wake ukawa uko vizuri.
Duuuh Kwan na Mzee Rama Alifariki ?Moyo wangu umehuzunika sana kwa kifo cha Mwlm wangu mpendwa Bro. Peter Lyimo, pumzika kwa amani mwalimu. Ntabaki nakumbuka usemi wako mkubwa wa "Punctuality in the morning" nawaza pia kama mzee Rama naye (mlinzi wa getini) angekuwa hai vile ambavyo angelia kwa uchungu kwa jinsi ulivyokuwa kipenzi chake
Act ile mpaka umjueHata simjui kabisa