BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Hiii habari chungu sana kwa Bavicha
Wala kwa Bavicha sio uchungu ni Uvccm waliokuwanasema Rais hawezi kuonana na msaliti wa nchi.

Hata hapa baada ya kuingia madarakani hawo chadema waliandika barua yakuonana na rais lakni hakutaka kwahiyo kwa hilo wala usinipe umuhimu wa kusema bavicha wanachukia bali wanaochukia ni ccm na viongozi wake na wananchi ukiwemo wewe na wapuuzi wemgine tu.
 
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema..
Japo unaandika kwa ushabiki wa kishamba ila ujue baada ya huyo Samia kuapishwa CHADEMA waliandika barua ya kuonana na Rais lakini hawakuitwa.

Bali wapumbavu wa kiuvccm ndio waliokuwanasema na kauli za kusema Rais hawezi kuonana na msaliti sasa hawo ndio uchungu wa mimba utazidi.
 
Usirukie treni kwa mbele. Umeambiwa Lissu kamwomba Samia nini?
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.

Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
 
Samia rais wa watu,za chini chini ni kuwa lissu amempigia magoti na kumbembeleza Sana mama Samia amuhurumie Dj Mbowe na ikiwezekana amwachie huru,keep calm wafuasi wa Mbowe huenda wakatabasamu this week.
Hayo mengine ni maoni yako na mawazo ni yako na keyboard ulioishika ni ya simu yako. Andika unachokitaka kwa hiyo msaliti mliyekuwa mnasema hawezi kuonana na Rais sio msaliti tena.
 
Wengine tunatumia free basic jaribu ku summarize nazungumzia Yao kwa maandishi
 
Samia rais wa watu,za chini chini ni kuwa lissu amempigia magoti na kumbembeleza Sana mama Samia amuhurumie Dj Mbowe na ikiwezekana amwachie huru,keep calm wafuasi wa Mbowe huenda wakatabasamu this week.

Kwani kuna sheria inayotuhusu Rais kusamehe mtuhumiwa kesi ikiwa inasikilizwa, au unasumbuliwa kiakili na muhemko. Mbowe attachiliwa sababu ushahidi wa michango usiwe za kuthibitisha chochote. Hii aibu sijui Irish’s baada ya miaka mingapi.
 
That's great! La Mbowe ukingoni. Wale wazee wa Siroo wakae mguu sawa.
 
Samia rais wa watu,za chini chini ni kuwa lissu amempigia magoti na kumbembeleza Sana mama Samia amuhurumie Dj Mbowe na ikiwezekana amwachie huru,keep calm wafuasi wa Mbowe huenda wakatabasamu this week.
Kwa muelekeo wa ushahidi gani waliotoa mpaka Sasa?
 
Wote wamoja, wametoka mbali, wana Bosi mmoja George Soros pure evil.

Masikini Mbowe aidha akubali kuachia Uenyekiti kwa Makamu au aozee Jela, Samia na Tundu Lissu lao moja!
 
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza...
Elewa jambo, Lissu kaomba kuonana na Samia akakubaliwa, Chadema Tz licha ya kumuandikia barua Samia ya kuonana nae walijibiwa watapangiwa siku lakini hiyo siku haikuwahi kufika, usikurupuke tafakari kwanza ndio uandike.
 
Back
Top Bottom