BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Wengine tunatumia free basic jaribu ku summarize mazungumzo Yao kwa maandishi.
Jiwe basic wanaumia
 
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.

Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Haa haa. Naona wapumbavu kama wewe wala hujui kinachoendelea. Baki ukijidanganya tu na ujinga wako.
 
Lissu muelewa sana kaonyesha kukubaliana jambo na mama kwa maslahi ya nchi.

Kilichobaki ni Lissu kupewa wizara flani atumikie nchi yake adhimu.

Lissu ni mtu na nusu.
 
Press za sasa hivi ni ;

"Akutana na kufanya mazungumzo".
 
Katika hali ya kupendeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia S. Hassan katika ziara yake nchini Ubelgiji amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.

20220216_195301.jpg


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
View attachment 2121297View attachment 2121298
 
Naona wafia vyama wanaanza kutoana damu sasa.

La muhimu ni TL kakutana na Mama, wamefanya mazungumzo juu wa mustakabadhi wa mambo mbalimbali, next step TL will be back, Mbowe will be out and they will both get down to their business..

Angalizo: CCM wananamna yao ya kudeal na mambo, ukiifuata ndoano kifala unanasa, and the good thing siasa zao sasa ziko chini ya wasukuma kete wa saigoni..
 
Back
Top Bottom