BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Wanasiasa wanacheza na akili za "wanyonge" haya mambo hayahitaji hasira.
 
Ni hatua nzuri,
Ni muda wa Mbowe kuachiwa bila masharti,Lissu na Lema kurudi na kuanza siasa za Majukwaani ,Maadui zao kina Mwendazake, Jobo,Sabaya,Makonda etc walishapotezwa na Karma.

Jumuiya ya Ulaya Oyee
LEMA ni nani hasa???
 
Samia rais wa watu,za chini chini ni kuwa lissu amempigia magoti na kumbembeleza Sana mama Samia amuhurumie Dj Mbowe na ikiwezekana amwachie huru,keep calm wafuasi wa Mbowe huenda wakatabasamu this week.

Mbowe akiachiwa ni kwa sababu serikali imekosa ushahidi wa kutosha lakini si kwasababu Rais kataka!
 
Ingekuwa ajabu sana asingeonana naye na pengine kila mtu angeshangaa...

Whether we like it or not, na bila kujali udhaifu na mapungufu yake kama binadamu, Rais Samia ndiye kiongozi mkuu wa nchi yetu na kauli yake katika jambo lolote huwa ndiyo ya mwisho. Mungu amjalie na aone ukweli wa mambo upande wa pili yanayotokea ktk nchi yake...

Kitendo cha kuikataa roho mbaya ya chuki na ya kiuaji ya mwendazake John P. Magufuli na kuonana na huyu ndugu uso kwa uso na kuzungumza bila kujali kama ni Tundu Lissu ameomba au Rais mwenyewe ameamua hivyo, ni jambo jema sana na kupongezwa...

This is the new beginning ya CHADEMA. Hopefully pia wakimbizi wote wa kisiasa waliokimbia mdomo wa dictator John P. Magufuli na kukimbilia nchi za kigeni, mlango uko wazi sasa kurejea ktk nchi yao....

Hongera TL, hongereni CHADEMA na hongereni wana harakati wa haki za binadamu na utawala bora wote...
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu.

Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye.

Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu usitawi wa Tanzania.

Pia, soma

1). Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

2). Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi
View attachment 2121277
View attachment 2121284View attachment 2121285
Pigo jingine kwa maccm wasiyo na akili wala huruma
 
20220216_201021.jpg

20220216_201025.jpg
 
Lissu ana hamia CCM kumfuata kaka yake Alute.
 
Back
Top Bottom