The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Inawezekana pia ni Rais ndiye aliyeomba kukutana na Lissu. Hilo of course hawawezi kuliweka wazi. Kwa jinsi Lissu alivyoongea na kuchambua kesi ya Mbowe jana siamini kama kweli ni yeye aliye initiate. Off course kama maongezi yamekwenda vizuri, Lissu hatakuwa na sababu ya kudisclose such info.Japo unaandika kwa ushabiki wa kishamba ila ujue baada ya huyo samia kuapishwa chadema waliandika barua ya kuonana na rais lkn hawakuitwa.
Bali wapumbavu wa kiuvccm ndio waliokuwanasema na kauli za kusema rais hawezi kuonana na msaliti sasa hawo ndio uchungu wa mimba utazidi.
Viva our darling mama and our beloved President, her Excellency, the only Excellency with a heart full of flesh. Be blessed madam President. We love you. Uchama tuweke pembeni tujenge nchi.Mama atawashangaza Wengi sana mnaombeza!
Viva Mama Samia Suluhu Hassan.
#NyukiWaMama
sasa hapo UVCCM inapata tabu ganiTaarifa mbaya sana hii kwa uvccm!
Prophet of doom as alwaGood for them!
Even if it’s just a photo op…
Acha kujitoa ufahamu kamanda. Rais Samia anahudhuria kikao cha AU-EU kinachohusisha viongozi wengi wa Africa. Kubali tu kuwa Lisu katumia fursa kujipendekeza na kupiga magoti.
Haisaidii kujibaraguza kamanda.Hata Kenya alikuwa anaenda kwa kitu kingine😂 sio ! Fungua macho acheni kuwa mbumbumbu
hiyo John P. ungemalizia tu POMBEIngekuwa ajabu sana asingeonana naye na pengine kila mtu angeshangaa...
Whether we like it or not, na bila kujali udhaifu na mapungufu yake kama binadamu, Rais Samia ndiye kiongozi mkuu wa nchi yetu na kauli yake katika jambo lolote huwa ndiyo ya mwisho. Mungu amjalie na aone ukweli wa mambo upande wa pili yanayotokea ktk nchi yake...
Kitendo cha kuikataa roho mbaya ya chuki na ya kiuaji ya mwendazake John P. Magufuli na kuonana na huyu ndugu uso kwa uso na kuzungumza bila kujali kama ni Tundu Lissu ameomba au Rais mwenyewe ameamua hivyo, ni jambo jema sana na kupongezwa...
This is the new beginning ya CHADEMA. Hopefully pia wakimbizi wote wa kisiasa waliokimbia mdomo wa dictator John P. Magufuli na kukimbilia nchi za kigeni, mlango uko wazi sasa kurejea ktk nchi yao....
Hongera TL, hongereni CHADEMA na hongereni wana harakati wa haki za binadamu na utawala bora wote...
Sorry amepiga wapi hapo magoti? Au mna andika imagination za fikra zenu while reality ni differentHatimaye Lissu kapiga magoti, huwezi shindana na raisi
Mmetuchangisha sana Hela za kesi ya Mbowe na mlikuwa mnazuia isiishe, Sasa mtajuta, mmekula sana Hela kwa kisingizio mnakusanya kusaidia kesi ya MboweKuna mambo unatakiwa uyaangalie. Lissu yuko nje kwa kuhofia serikali ambayo mkuu wake ni Samia. Serikali inasemwa na lissu huko ughaibuni na hii ni mbaya inatia doa. So, hii ina maana kuna uadui. kwa kukutana kwao kuna faida kubwa kwetu sote ila wenye akili za mbuzi watashambulia tu vyama na kupandikiza chuki. Huu ni upumbavu sana.
Tuangalie tukio kwa upana na sio kiushabiki
Acha hayo. Samia alimtembelea Lissu Nairobi alipopigwa masasi na sasa amemtembelea ukimbizini. Hii ni healing elewa. Samia ameinyesha ubinadamu, ni mtu mwema. tatizo ni wapuuzi wa ccm wanaomjaza fitna.CHADEMA mtawakuta ACT WAZALENDO huko kwenye siasa za maridhiano walishatangulia.
Mbona alishawashangaza kitambo? Na bado watatoka macho nje gololi tu aisee. Huyu ndiyo Rais wa wote na alisema alipoapishwa. Anatekeleza. Yaani Mungu anipe uhai nifurahie maisha kipindi chake chote mpaka 2030. Huyo atakayeingia wala sitajali Sana maana by that time nitakuwa niko busy na vijukuu na vitukuu vyangu na kupata hot news JF.Mama atawashangaza Wengi sana mnaombeza!
Viva Mama Samia Suluhu Hassan.
#NyukiWaMama
Miss U so much the woman that fights the feminism legacy...[emoji16]Mama anaendelea kuupiga mwingi
Mataga pori mmenuna kweri-kweri baada ya mama enu kukutana na lisu bila uwepo wenu wachawi.Hiii habari chungu sana kwa Bavicha
Ile lugha iliyotumika pale ni watu wachache waliielewa, huoni baada ya kunyoosha mkono kesho yake serikali iliona hakuna haja ya kuleta mashahidi wengine.
Mbowe alikubali kosa hivyo serikali imeona haina haja ya kuendelea kumshtaki, hivyo hivi karibuni anatoka mahabusu.
Shauri zako, acha kujifanya CCM kindakindaki. Mwenyekiti wa ccm kakutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema kuyajenga, wewe unatultea story za George Soros wa marekani. Tatizo nyie watu wa Chini ndio mnaojifnya kuipenda CCM wakati watoto wakubwa wanapewa uwaziri.
Vipi unamsapoti mama au bado unalinda legacy?Watajibaraguza tu hao makamanda uchwara kama kawaida yao.