BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Kwa hiyo Lissu kaombwa sana kwa baruaa akutane na RAIS
si ndio?
🤣🤣🤣🤣
Kama hivi?

IMG_20220216_212136_442.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu...
Lissu tafadhali!!! Please!!! keep distance and put on your barakoa! Usije ukasababisha presha kwa "watu"!!!!
 
Kitu nilichojifunza kwenye maisha shida ambazo zinaniumiza mimi maamuzi ya kujinasua yabaki yangu pia.

Hakuna ubaya wa Lissu kukutana na raisi, ila mtu kama huyu anishauri eti nisiombe suluhisho na serikali kisa raisi huyohuyo aonekane mmbaya kimataifa for his political mileage.

Baadhi ya wafuasi wa CDM humu siasa za kufuata watu badala ya kutumia akili zinawaaribu sana.

Kwenye sakata la Mbowe from day one baadhi ya watu walisema Lissu na Lema hawana moral authority ya kumpangia Mbowe kutafuta suluhisho kwa njia nyingine ilo libaki kama maamuzi yake mwenyewe.

Watu ambao wamekimbia misukosuko halafu wanatumia matatizo ya wenzao kama chessboard pieces for their interest.

Akili za wafuasi wa CDM zinawatosha wenyewe.
 
Hata hueleweki wewe nawe
Utaelewa siku utakayopata matatizo halafu usikilize ushauri wa Lissu akikwambia kamanda komaa hakuna ku negotiate na serikali wakati yeye anakata shawarma na kutupia picha.
 
Ni kama unaiba kwa mtu 100m halafu unamfunga jela. Akisema na kukubali haujaiba chochote kwake, anakutoa jela na kukupa 5m sharti usizungumzie100m.

Watu wanashangilia. Haki ingekuwa kupewa 100m yako plus interest na waliokudhulumu, kukufunga wawajibishwe. Uruhusiwe kuendelea na kazi zako kama kawaida. Ngoja tuone hii movie.
Siasa za Tanzania ni kituko mkuu
 
Back
Top Bottom