Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Sasa huu unyanyasaji unaofanyika hapa tz ni wa hatari zaidi kuliko hata wa huyo mmarekani mweusi, so ujumbe utafikishwa kwa katuni hii na zingine zinazogusa hisia ili ieleweke zaidi.
 
Nadhani uwezo wetu wa kujitambua ni mdogo. Tumefikia kushangilia mchoraji asiyejulikana hata ufahamu wake, asiyejua dunia iko ktk mood gani. Huwezi kutumia picha ya mtu aliyeinua dunia kudai haki kwa kifo chake ili kueleza ajenda mfu za kisiasa.

Tujaribu kuelewa, zaidi ya mchoraji bwege kama huyu. Amechora hivyo hivyo kwa Kenya na hakupata uungaji mkono. He is just a stupid cartoonist.
 
Mkuu wa nchi ya masokwe anaitwaje
 
Punguza jazba
Life is too short to panic in every situation
 
Daah kanichekesha πŸ˜€ πŸ˜€ daah hawa ndiyo tunasema ni wazee wetu eti hazina ya taifa!
Watayamaliza kinyumbani!

Everyday is Saturday.......................😎
 
Huyo aliyeuliza swali ni mkuda sana, kamuharibia siku ya mzee wa watuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unajua kuna watu wanadhani kuwa na upinzani ni jambo baya linalotakiwa kukomeshwa. Mtu anafikiri upinzani unatakiwa kufutika kabisa. Lakini ukiwailiza waungwana hawa: Membe, Lowasa , Sumaye.

Nape nk watakuhadithia umuhimu wa kuwa na upinzani. Nawashauri watz wenzangu;- msiwe na fikra za kuua upinzani.
 
Huyo aliyeuliza swali ni mkuda sana,kamuharibia siku ya mzee wa watuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Siyo kumuharibia, ni matunda ya malezi yake. Hawa watoto wanaingizwa kwenye siasa wakiwa hawajitambui na wazazi wanasifia. Unakuta katoto kanasifiwa eti kajanja, hakana aibu, kana akili ya kikubwa, n.k. Mtoto akishakuwa na sifa za aina hiyo huko mbeleni ni aibu tu!

Ofisi moja na baba, unapelekwa 'vichakani', ukitegemea nini ktk familia hiyo.
 
Nani amekuambia ukiliwa Chumbani ndio unakuwa na thamani?
 
Halo wanabodi.

Nimezinasa tetesi Mahali kuwa Mheshimiwa Mbunge fulani wa kuteuliwa ndiye kikwazo ktk kuolewa mwanaye wa kike ambaye pia ni Mbunge ktk bunge la JMT.

Inadaiwa Mwami ambaye naye ni Mbunge kutoka chama pinzani amejitahidi kwenda kujitambulisha lakini Mzee kamwambia hataki kuuona uso wake nyumbani kwake sio Dar Wala Kagera.

Mwami ametumia hadi wazee wa Busara lakini Mheshimiwa kawafukuza kwake. Kaenda mbali kwa kumuelekeza bintiye akatize kabisa uhusiano na Mtu wa upande ule ulio kinzani na serikali japo wana mtoto.

Ktk zama hizi inashangaza bado kuna watu wanataka kuwapangia binti zao waolewe na watu gani. Kama hizi tetesi ni kweli basi kuna watu hawaupendi upinzani kutoka damuni ndani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…