Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Mtoto mbichiii kazaliwa 1991 kabahatika kupata na ubunge baharia kamkamatia kichakani akamjaza mimba
Zitto kamshika pabaya mzee wawatu.
 
Mtoto huyu hapa,mimi napiga mkia tu hata kama mshua wake aseme tunakutana makaburini.
 
Waislamu wanaruhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja nao pia ni wanyama
 
Hivi kuna mgombea ccm anapata uongozi bila ushirik.... ndio maana nchi hii haiendelei na Kigoma ndio kabisa.
 
Zitto nae amezidi kuoa oa! Mpaka mke wa rafiki yake! Ndio maana sura inachubuka kila siku nakuota mapere kila leo! Yatakuwa ni ma UTI ya wanawake,
Anafakamia mno! Ndo maana mzee bulembo katoa povu.
 
Yaani binti anapigwa miti vichakani.na mzee mzima zitto .
Yaelekea zitto sio wa mcheso mcheso
 
Zitto nae amezidi kuoa oa! Mpaka mke wa rafiki yake! Ndio maana sura inachubuka kila siku nakuota mapere kila leo! Yatakuwa ni ma UTI ya wanawake,
Anafakamia mno! Ndo maana mzee bulembo katoa povu.
Mwenye binti hakosi mkwe!
 
Sasa mzee darasa la 7 ataongea kitu gani cha maana,hata afikirii kabla ya kuongea.hili kabila la wajita ni zaidi ya matatizo.
 
Nauona mchezo mchafu kuelekea uchaguzi wa urais zaidi kuliko hilo suala LA mahusiano...
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜ŠπŸ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…