BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

To each their own..., Sioni tatizo kwa lolote analofanya kama wanaokwenda wanakwenda bila shuruti na wanakwenda kutibiwa roho zao (feel good factor)

LAKINI...
Moja; Haya mambo ya kuambiwa fulani amekusababishia matatizo ni ramli chonganishi na haijengi bali kuleta nyufa kwenye jamii... (Hili halifai)

Mbili; Umesema nyote mmekesha mmekesha mliokwenda au kelele zimesababishia hata wasiohusika kukesha kwa bughudha ? Hio sio Kosher (furaha yako / yenu isiwe kero kwa wengine)
 
Wanabodi,

Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...

Paskali
Hio ni kawaida, hujawahi ishi Nigeria? Hapo sana watu wamepeqa habari za shuhuda fake na baadae kuambiwa nyota zao zimekamatwa na baadae wamekamuliwa pesa.

Huwezi sikia mahubiri ya Upendo wala watu kuacha dhambi, au watu kuishi kwa upendo.
 
Mwamposa kashindikana asee jana ilikua sio poa !
Yaani upewe dawa kutoka nchini Msumbiji na Congo dr anazotumia sasa Fally Ipupa na baba yake Koffi Olomide uchanganye na miiko ya mizimu kutoka milimani na misituni mkoani mbeya huku ukiwa na back up nzuri ya wakubwa wa serikalini na ukipiga promo ya kutosha katika media mbalimbali nchini halafu usishindikane kama unavyosema hapa?
 
Stamina gani? mtafanywa mazezeta hadi lini? stick kwenye Dini zenu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…