Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naachaje mkuuuNa Wewe ukapewa karatasi na Mafuta yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naachaje mkuuuNa Wewe ukapewa karatasi na Mafuta yako?
na wapumbavu waliokomaaKusanyiko la wajinga
Wewe haukuwepo kwani?Kusanyiko la wajinga
Kwa hio Ile karatasi ya maombi 12 ulichukua au hukuchukua?Naachaje mkuuu
Anaokoa roho kwa kuwatafuna waumini na kuwajengea mighorofa?Shukuruni anaokoa Roho za watu
cc: milano massage parlour msasani na angela wa salasalaAnaokoa roho kwa kiwatafuna waumini na kuwajengea mighorofa?
Hapa ungeelezea vizuri MkuuAnaokoa roho kwa kiwatafuna waumini na kuwajengea mighorofa?
Hio ni kawaida, hujawahi ishi Nigeria? Hapo sana watu wamepeqa habari za shuhuda fake na baadae kuambiwa nyota zao zimekamatwa na baadae wamekamuliwa pesa.Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
na Target yake ni pesaSadaka kiasi gani imetolewa?
Yaani upewe dawa kutoka nchini Msumbiji na Congo dr anazotumia sasa Fally Ipupa na baba yake Koffi Olomide uchanganye na miiko ya mizimu kutoka milimani na misituni mkoani mbeya huku ukiwa na back up nzuri ya wakubwa wa serikalini na ukipiga promo ya kutosha katika media mbalimbali nchini halafu usishindikane kama unavyosema hapa?Mwamposa kashindikana asee jana ilikua sio poa !
Stamina gani? mtafanywa mazezeta hadi lini? stick kwenye Dini zenu,Kakaa hatareer nimetokaaa saa 0620am nilichomwomba Mungu niwe na nguvu kama zake za kuombaa aisee mwamba ana stamina hatareee yaaan kipindi chapilii alivyorudi kama pakomeeeeee wayaa nkaanza onaa majiran zangu pemben smart wanagalagala nkajua kumekucha ngoja niweke na mie miguu sawa hataree
Ebwanawee kumbe kuna Siri sirini namna hii emu wekeni wazi hizi maelezo mboni waumini wake hawajui haya yote hivi na Pascal Mayalla anayajua haya?cc: milano massage parlour msasani na angela wa salasala
pale wanauziwa shuhuda fake na baadse wanakamuliwa sadaka, baada ya haoi ataandaa jingine na hao hao ndio watakuja.Amekuponesha nini Mwoposa?
Na Wewe ulikuepo kuchukua Mafuta yakoMwamposa kashindikana asee jana ilikua sio poa !
hawa huwezi watenganisha na CCM, bila kuwa CCM wanafungiawa kutoa huduma za kutapeliCcm wanapenda manabii km hawa ili wanavyoikausha nchi wasipigiwe kelele