BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

Ujinga ni kumpa mtu sifa na kumuacha Mungu!

Mungu alisema ye ndo anafanya kupitia wanadamu, na utikufu wake alisema hagawani na mtu!

Ukiona mtu anajisifunkuwa ye ndo kfnay aujue hakuna kitu hapo,
Kwahiyo watu wake mjue kuwa km ni Mungu anafanya muache hizi sifa ,labda km Kuna mengine
Hawa wanafuata mtu, na mwamposa mfano akafa ndio mwisho wa kanisa lake, angalia Yule mama Lwagatare unasikia habari za kanisa lake tena?

Kwa mwamposa watu wanafuata yeye kama yeye hawamfuati Mungu wala neno la Mungu. ni sawa na watu wanavyo wafuata waganga wa kienyeji.
 
Na wewe ni tapeli unamhamasisha tapeli mwenzio, what kind of kumanina is this..hio nyomi inaonesha watanzania umaskini ni mkubwa sana na watu wanatafuta mafanikio kwenye kukanyaga mafuta au kutafuta mafanikio kwa mtu..na nyie socialites badala mkemee watu wafanye kazi kama wachina nchi mwao, mmekaa mmekalisha matako yenu mnahamasisha ukuma tu..shenzi kabisa.
Hawa wanapewa Bahasha,
 
Nilikuwa nina kesi mahakamani nimeshinda Mkuu mwamposa sio tapeli
Mkuu ni Imani tu na Imani sio mtu km Mwoposa Imani ni Wewe na kile unachokiamini kwa hio wewe unaamini nini Mwoposa anaweza kukuponyesha HIV Sugu tukutafute tukudunge sindano yenye virus uone km vitaondolewa na yule Bwana vikishaingia kwenye mfumo wako wa Damu
 
😂😁😁 Mkuu nipe tofauti ya kuamini na imani
 
Ukombozi upi? wiki ijayo akiandaa tamasha jingine wataenda hao hao, anacheza na akili za mazezeta, pale hutasikia Bible inasomwa, pale ni shuhuda za wale watu walio pangwa watoe shuhuda tena kwa nyanja tofauti.

Kuna shuhuda za Biashara, mikopo, ndoa, Ugumba, Matatizo ya familia, kupata kazi,Magonjwa sugu.
.Hapo ndio abako wakamatia wajinga
KUKAA KIMYA NALO JIBU
MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMAZA
BY MARTHA MWAIPAJA
 
Ukombozi upi? wiki ijayo akiandaa tamasha jingine wataenda hao hao, anacheza na akili za mazezeta, pale hutasikia Bible inasomwa, pale ni shuhuda za wale watu walio pangwa watoe shuhuda tena kwa nyanja tofauti.

Kuna shuhuda za Biashara, mikopo, ndoa, Ugumba, Matatizo ya familia, kupata kazi,Magonjwa sugu.
.Hapo ndio abako wakamatia wajinga
Anajua common issues so anapita mulemule na mtu mwenye shida serious uwa akili yake haifanyi kazi kabisa, kuna jamaa yangu yupo mkoani anaamini karogwa kisa alipata ajali mguu ukavunjika na mambo hayaendi solution yake eti jana kaja kwa mwamposa wakati nilimwambia badiri mbinu za utafutaji kaniona fala nasubiria atakachovuna katumia gharama kibao kuja kutapeliwa ila kwa kulia lia hana kitu na maisha magumu.
 
Mimi nimeisha shinda kesi kibao sijatumia mwamposa wala nini, wadanganye wengine
MI NA KESI 2 NILIPANGUA KWENYE MAOMBI 12

WAACHE WAUMINI TUAMINI MUNGU ANATOTENDA YATATU NAPANGUA 25JUL

NIMEOIGIWA NIPELEKE NA MADAI YOTE NILIYOTUMIWA MKUU MUNGU ANAJIBU MADHABAHU YA KAWEE
 
Sina ugomvi na mkesha wao, nina ugomvi na aina ya watu tunaozidi kuwajaza ujinga kuhus the so called Mitume na manabii. Huu ndio mtaji wa CCM na nina imani kuwa hapa kulikua na ajenda ya CCM nyuma yake
 
Back
Top Bottom