BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hawa wanafuata mtu, na mwamposa mfano akafa ndio mwisho wa kanisa lake, angalia Yule mama Lwagatare unasikia habari za kanisa lake tena?Ujinga ni kumpa mtu sifa na kumuacha Mungu!
Mungu alisema ye ndo anafanya kupitia wanadamu, na utikufu wake alisema hagawani na mtu!
Ukiona mtu anajisifunkuwa ye ndo kfnay aujue hakuna kitu hapo,
Kwahiyo watu wake mjue kuwa km ni Mungu anafanya muache hizi sifa ,labda km Kuna mengine
Kwa mwamposa watu wanafuata yeye kama yeye hawamfuati Mungu wala neno la Mungu. ni sawa na watu wanavyo wafuata waganga wa kienyeji.